Ugua pole Sweetlady

Ugua pole Sweetlady

Last edited by a moderator:
Jamani, jamani! Kwanini niipotezee mpendwa?

Ahsante sana dia!

Umenichunia kweli nikawa najiuliza wote wazawa wa tz kulikoni? Mi naangalia tu mara majuimisho mara filipopo mara nitekenye
 
Umenichunia kweli nikawa najiuliza wote wazawa wa tz kulikoni? Mi naangalia tu mara majuimisho mara filipopo mara nitekenye

sweetlady anajua we siyo raia wa tanzania
 
Last edited by a moderator:
Mie pia naongeza maombi muachane!

Shindwa shetani!!! Baba V njoo uone hawa wanaotaka kunivunjia ndoa yangu halafu uchukue hatua. Usisahau kuhusisha kamati ya maombi maana inaonekana kuna pepo limemwingia huyu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom