Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Hivi nauliza kwa nini Mzee Memgi anapenda ugomvi wa maneno na viongozi wa serikali na hata wafanya biashara wenzake? Mfano; nimewahi kusikia ana suguana na, baadhi ya wabunge mawaIri nk
 

​


Adui wa mzee Reginald Mengi ni MaCCM, ambayo yanasikitishwa sana kwamba ITV haina mrengo wa kifisadi na wala haihongeki. Wangetamani sana ITV ifungiwe ili watanzania wawe gizani.
Ugomvi uko kwenye Television yake; kuna asiyejua hilo? Ndio maana kila mwaka wanamfanyia visa vya kitoto.

Ila mzee Mengi ni ngangari, mfano wake hakuna! Mtu mwingine asingeweza kuvumilia kwa kiwango hiki.


Hii ndio list ya makampuni makubwa duniani yanayochimba mafuta kwa ubia na serikali za nchi husika, Hata Uarabuni serikali ndio zinaingia ubia na kampuni hizi, anachotaka Mengi apewe yeye vitalu ili akaingie ubia na hizi kampuni, Rasilimali za taifa hatuwezi kuwapa watu wachache.

The following is a list of the world's largest Oil and gas companies, ordered by revenue in millions of U.S. dollars according to the Fortune Global 500. Currently all companies with revenue greater than $25 billion are included.

[TABLE="class: wikitable sortable jquery-tablesorter"]
[TR]
[TH="class: headerSort"]Company[/TH]
[TH="class: headerSort"]Revenue[/TH]
[TH="class: headerSort"]Headquarters[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Royal Dutch Shell[/TD]
[TD]484,489[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Netherlands.svg.png
Netherlands /
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Exxon Mobil[/TD]
[TD]438,255[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP[/TD]
[TD]386,463[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sinopec[/TD]
[TD]375,214[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]China National Petroleum Corporation[/TD]
[TD]352,338[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chevron Corporation[/TD]
[TD]245,621[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Conoco Phillips[/TD]
[TD]237,272[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total[/TD]
[TD]231,580[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_France.svg.png
France[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gazprom[/TD]
[TD]157,830[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Russia.svg.png
Russia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Eni[/TD]
[TD]153,676[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Italy.svg.png
Italy[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Petrobras[/TD]
[TD]145,915[/TD]
[TD]
22px-Flag_of_Brazil.svg.png
Brazil[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GDF Suez[/TD]
[TD]126,076[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_France.svg.png
France[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pemex[/TD]
[TD]125,344[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Mexico.svg.png
Mexico[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Valero Energy[/TD]
[TD]125,095[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PDVSA[/TD]
[TD]124,754[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Venezuela.svg.png
Venezuela[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Statoil[/TD]
[TD]119,561[/TD]
[TD]
21px-Flag_of_Norway.svg.png
Norway[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JX Holdings[/TD]
[TD]119,258[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Japan.svg.png
Japan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lukoil[/TD]
[TD]111,433[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Russia.svg.png
Russia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Petronas[/TD]
[TD]97,355[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Malaysia.svg.png
Malaysia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Indian Oil[/TD]
[TD]86,016[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_India.svg.png
India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Repsol[/TD]
[TD]81,122[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Spain.svg.png
Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PTT[/TD]
[TD]79,690[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Thailand.svg.png
Thailand[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Reliance Industries[/TD]
[TD]76,119[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_India.svg.png
India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]China National Offshore Oil Corporation[/TD]
[TD]75,514[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Marathon Petroleum[/TD]
[TD]73,645[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pertamina[/TD]
[TD]70,924[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Indonesia.svg.png
Indonesia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rosneft[/TD]
[TD]65,093[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Russia.svg.png
Russia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TNK-BP[/TD]
[TD]48,909[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Russia.svg.png
Russia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Idemitsu Kosan[/TD]
[TD]48,828[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Japan.svg.png
Japan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]OMV Group[/TD]
[TD]47,349[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Austria.svg.png
Austria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sunoco[/TD]
[TD]45,765[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bharat Petroleum[/TD]
[TD]44,582[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_India.svg.png
India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Enterprise Products[/TD]
[TD]44,313[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GS Caltex[/TD]
[TD]43,280[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_South_Korea.svg.png
South Korea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Suncor Energy[/TD]
[TD]40,231[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Canada.svg.png
Canada[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hindustan Petroleum[/TD]
[TD]38,885[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_India.svg.png
India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hess Corporation[/TD]
[TD]37,871[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Centrica[/TD]
[TD]36,860[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PKN Orlen[/TD]
[TD]36,100[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Poland.svg.png
Poland[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ecopetrol[/TD]
[TD]35,520[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Colombia.svg.png
Colombia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]International Petroleum Investment Company[/TD]
[TD]35,495[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_Arab_Emirates.svg.png
United Arab Emirates[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]World Fuel Services[/TD]
[TD]34,623[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]China National Aviation Fuel Group[/TD]
[TD]34,352[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plains All American Pipeline[/TD]
[TD]34,275[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cosmo Oil Company[/TD]
[TD]33,672[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Japan.svg.png
Japan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CPC Corporation[/TD]
[TD]32,769[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Republic_of_China.svg.png
Taiwan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Murphy Oil[/TD]
[TD]31,446[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Matendo ya bwana Mengi kuongopa na kupotosha mbele ya umma kuhusu uwekezaji wa kwenye nishati unaonesha jinsi gani alivyokosa uungwana na tamaa iliyopindukia kama mfanyabiashara tena asiekuwa na chembe ya uzalendo hata moja ndani yake.

Halikadhalika wanasiasa wanaodandia hoja ya Mengi na kumbeza Muhongo awastaili kupewa kura kabisa uchaguzi ujao, maana wanatuonyesha unafiki, level ya ujinga waliyo nayo, na upu.mbavu wa hali ya juu kutoka kwao. Sielewi kwanini kuna watu bado awalipati hili somo ina maana ni wazito hivi, Mengi awezi badili msimamo kwasababu msukumo wake ni mmoja tu tamaa lakini iliyokosa uwezo na sasa anatafuta njia za panya kujipenyeza kwa mgongo wa uzawa.

Sijui ni uzawa upi unaoliliwa kwa sasa maana Watanzania katika uwekezaji wa mafuta na gesi ndio TPDC, faida yote watakayo chukua TPDC inarudi serikarini ambapo inaenda kwenye miradi ya maendeleo na wanufaikaji ni watanzania kwa ujumla.

Sielewi kwanini Muhongo mpaka dakika hii aeleweki swala ni simple serikari aina hela ya kuchukua risk za kufanya exploration kutokana na majukumu yake mengine na uwezo wao wa kifedha (hata marekani, canada, brazil na nchi nyingi duniani serikari azijiingizi katika direct investment za nishati completely), kwa Tanzania sheria ama msimamo wa serikari ni kwamba wewe chukua risk zote nishati itakayopatikana kama ni ya kibiashara twende ubia kama aipo hasara yako.

Iwapo akuna nishati ya kutosha kufanyia biashara imekula kwako na kama ipo depending on the reserves volume mikataba ni 65%-75% (kama nakumbuka sawa) mwekezaji anarudisha gharama zake za awali baada ya hapo ni mkataba na isitoshe katika faida zake bado anatakiwa kulipa kodi.

Na katika utaratibu wa sasa hakuna mahala ambapo inasema ubia utaingiwa na wageni tu, ni kwamba ubia utaingiwa na wenye uwezo. Watanzania kama mnauwezo jamani nendeni na nyie mfuate taratibu za sasa muone kama mtanyimwa mbona hilo lipo wazi, serikari inachojali kwa sasa ni vitalu kufanyiwa exploration kama ni vya kibiashara unachorwa mkataba ambapo wao wanachukua perecent zao kwa niaba ya taifa na wewe unachukua utajiri wako aijalishi uwe mkenya, mchaga, mmakonde, mpemba au wote nyie mkachanga na kufanya mwisho wa utaratibu upo clear msimamo wa serikari ni kwamba itatoa percentage for risk takers.

Sasa watanzania wenye tamaa wanatakiwa kusaidiwa vipi, ni sawa kumwongopea mtu mjinga kule barabarani ambae si mwelevu na mgumu kumpa somo, lakini kitendo alichokifanya Mbatia na wanasiasa wengine kama akina Kafulila (mropokaji mwengine) ni vitendo vya aibu halafu wanadai ni kwa maslahi ya watanzania, yaani they come across as cheap and easy to be corrupted na vijisenti vya kuongwa.

Umenena vyema mkuu.
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

:embarassed2:huwezi kuta hatasikumoja ccm wakitetea wazawa au huwezi mkuta ccm mwenye chembechembe za uzalendo zaidi yakuwa na vinasaba vya wizi na ufisadi kwaiyo hata wewe povu linalokutoka unajaribu kutetea tumbo lako kwa kuwa hunauwezo wakuwa mkweli hatasiku moja zaidi ya unafiki na kutembea nadhambi ya uwoga
 
Mengi nasikia aliwahi kuambiwa aboreshe tenda (kabla ya siku ya kufungua) ya kununua hotel iliyokuwa Kilimanjaro Hotel. Matokeo yake hakuboresha na hotel akaikosa. 10% in action hutoi....hupati ndiyo mtindo wa sasa wazawa tunaumia
 
Mpeni vital naye ajaribu akishindwa si ananyanganywa kwa nini mmpimie uwezo?
 
Mpeni vital naye ajaribu akishindwa si ananyanganywa kwa nini mmpimie uwezo?

Gas sio Soda mkuu, mpaka sasa kuna vitalu havijapata bids, kwa sababu ni risk

China's top offshore oil producer, Cnooc Ltd., and Russia's state-owned Gazprom are front runners among international companies that have submitted bids to develop Tanzania's lucrative gas and oil blocks, officials said Thursday.
Up to six companies have submitted bids for oil and gas blocks offered by state-owned Tanzania Petroleum Development Company in the latest round of bidding, which closed last week, TPDC said.
Tanzania estimates it has recoverable gas reserves of more than 46 trillion cubic feet in total.
"Currently, all bid documents are being evaluated," TPDC said. "Successful Bidders will be invited to commence negotiations for Production Sharing Agreements with the government and TPDC."
Winners are likely to be announced over the next two months, said a TPDC official.
Cnooc, which is already developing the kingfisher oil field in neighboring Uganda, will compete with Northway's Statoil and U.S.-based ExxonMobil Corp. for block 4/3A, off Tanzania's southern coast.
Russia's Gazprom is the sole bidder for block 4/3B.
Other companies that submitted bids include United Arab Emirates-based Mubadala and Ras Al Khaimah Gas LLC.
Statoil and ExxonMobil have already made huge discoveries in Tanzania and are planning to build the first liquefied natural gas plant in the country, which could cost between $20 billion and $30 billion, according to company officials. Other companies with exploration rights in the country include the U.K.'s BG Group PLC, Aminex PLC and Ophir Energy PLC
 
Kama makampuni ya IPP yangekuwa mfano katika kujali wafanyakazi wake ningesema aangaliwe kama mzalendo, lakini kwa hali iliyopo sasa hivi, yeye ni mbinafsi tu anayetumia "Utanzania" kutaka kuchuma zaidi
 
Mkuu FaizaFoxy, napinga maoni yako kwa kuwa Mengi anaongelea suala la kuwezeshwa wazawa kumiliki uchumi wao na si wageni. Kulingana na sera ya Uwezeshaji alimimia 95 ya uchumi imeshikiliwa na 5% ya matajiri or wawekezaji na 5% ya uchumi na watz 95%. Sera inaelekeza shareholding na Joint Venture na serikali iwe na Guarantee Scheme kwa wazawa!! BOT kulikuwa na Guarantee Scheme ila sijui inafanya kazi gani? Wazawa ni lazima tumiliki rasilimali zetu. Mzee Mengi tusemee, stand out of the crowd!!! Wote hatuwezi kusema itakuwa fujo tutapigwa mabomu, acha Mengi atusemee. Yawezekana Muhongo si Mtanzania, he is less concerned!! Muhongo anawakilisha 5% inayomiliki rasilimali kwa 95%, inclusive through heavy 10% and shares!!! Why care!!
Kwa uandishi huu nimetoka kapa kabisaaa!!
 
Comment za namna hi pamoja na akina Muhongo ndizo zinazonifanyaga niamini kua Watanzania tumelogwa, sijui kama kuna mtu anaweza kunishawishi vinginevyo! Kenya tu hapo, huwezi toa comment ya kijinga namna hi na watu wakuone we wa maana!

Toa komenti yako ya kijanja mkuu ila ukweli ndio huo. Watanzania hatuwezi kuburuzwa na Mengi kwa faida zake binafsi. Serikali imetangaza wazawa wenye pesa tukawekeze kwenye gesi sasa malalamiko yanatoka wapi? Imeshajulikana wazawa ni mengi wala sio wengine.
 
Ili kujenga natural gas plant uvune gas inahitajika Dola kati ya Bilioni 20 na 30, utajiri wa Mengi ni dola milioni 500, na huo ni pamoja na majengo na viwanda, sio cash, mnaomtetea tuelezeni atawekeza vp? njooni na data sio porojo.
 
Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???

Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.

Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.

Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.

Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.

Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.

Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.

MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.

Ina maana Mengi asingekuwa Mchaga, ungeikubali hoja yake? Well, wewe una kirusi kikali sana cha ukabila kuliko hao unaowatuhumu kwa ukabila.

Uliwahi kukopa benki? Hebu na wewe kakope NBC na ukatae kurejesha kama unavyodai Mengi alifanya. Na kama Mengi alichukua mkopo akakataa kurejesha, anayepaswa kulaumiwa ni nani? Benki ilichukua hatua gani? By the way, weka vielelezo hapa kuthibitisha madai yako.

Na aliyekuambia wawekezaji wa kigeni si matapeli na mafisadi ni nani? Au ni afadhali watu kutoka mbali wanufaike kuliko jirani yako? Kimsingi ni kwamba wafanyabiashara wote (Watanzania na wasio Watanzania) wanalenga kupata faida na si vinginevyo. Ni kazi ya serikali (regulator) kuhakikisha nchi inanufaika kwa kuweka na kusimamia sera na taratibu thabiti. Haiwezekani hata kidogo kutegemea huruma ya wawekezaji kwa kuwa hawana huruma linapokuja swala la kukuza faida. Hivyo, kama tukiibiwa na wawekezaji, anayepaswa kulaumiwa ni serikali. Na huwezi kusema unaweka mipango ya kupunguza ufisadi kwa kuhakikisha wazawa hawapati nafasi ya kuwekeza. Au mwekezaji fulani hafai kwa kuwa ni mzawa, ana tamaa na ni mbinafsi. Wawekezaji/wafanyabiashara wote, bila kujali uraia wao, kwa asili ni wabinafsi. Wanawekeza ili wapate faida kwa ajili yao. Hutopata mwekezaji ambaye si mbinafsi. Hutopata mwekezaji mwenye huruma. Na ndio maana tuna serikali. Serikali inapaswa ku-regulate tabia za hawa wawekezaji ili nchi iweze kunufaika.

Nchi nyingi kama sio zote hufanya upendeleo kwa watu wake. Kwa mfano, ili Mtanzania aweze kuishi na kufanya kazi nchini Marekani, kuna taratibu nyingi na ngumu za kufuata. Lengo ni kutoa upendeleo kwa watu wa Marekani kupata ajira. Vivyo hivyo, Tanzania tuna taratibu za kuhakikisha kuwa tunatoa upendeleo kwa watu wetu kupata ajira (mgeni lazima apate work permit kufanya kazi hapa). Taratibu za namna hii zipo katika kila nyanja. Kampuni ya General Electric ilipotaka kununua kampuni ya Alstom (energy arm) ya Ufaransa, wanasiasa na Serikali ya Ufaransa walipinga (Mfano mwingine ni Pfizer walipotaka kununua Astra-Zeneca ya Uingereza/Sweden). Lengo ni kulinda maslahi ya wazawa. Huu ni utaratibu wa kawaida na msingi wake ni ubinafsi. Tanzania pia inapaswa kutetea na kulinda maslahi ya watu wake kuwekeza na kupata ajira. Hatupaswi hata kidogo kuwabeza watu wetu kwa kisingizio kuwa ni wabinafsi au hawana mtaji. Serikali makini husaidia watu wake kupata mtaji. Weka affirmative measures kutoa upendeleo kwa Watanzania kuwekeza kwenye oil and gas na wenye mtaji watajitosa kuwekeza (kwa kuwa huwezi kuwekeza kama huna mtaji). Huwezi kutunga sera za nchi kwa kuangalia ugomvi kati ya mtunga sera na mfanyabiashara mmoja au kabila la mfanyabiashara aliyeonesha nia ya kuwekeza. Haya ni makosa makubwa kwa kuwa maslahi mapana ya Watanzania yanaathirika.

Ps. Watanzania si wapumbavu kudai fursa ya kuwekeza/kunufaika na oil & gas. Watakuwa wapumbavu kwa kutodai upendeleo katika fursa hizo.

Si kila anayedai upendeleo katika kuwekeza kwenye oil & gas ametoka guest na majanaba. I don't even know why you mentioned this in your post. Calm down and let's engage in a honest and informative discussions.

Jitahidi sana kujadili hoja na si mtoa hoja. Wachana na kumjadili Mengi, tabia, dini, na kabila lake. Je, hoja yake ina mashiko au la? Kwa nini?
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.


You are right! kwa nini yeye awe wa kugombana na kila mtu?
Tujiulize pia, kama kwe;li ni mzawa na mzalendo wa nchi yake, vijisenti vyake alivipataje?hakukwapua?kama akina mkono?
 
mengi ataanzisha kikundi kama cha Niger delta kule mtwara we acha waendelee kumkenulia meno

Mkuu hata nami ninashaka na hili ukichukulia anavyo team up na waingereza na ambao ni wachochezi.

Huu u diaspora wa Mengi ni hatari.

Mpango mzima kwa wazawa ni ununuzi wa hisa toka TPDC.

wanajiita wazawa katika kutaka kuvuna rasmali za kusini na kwenda kuneemesha kaskazini badala ya nchi nzima.

komaa mh MUHONGO walala hoi tuko nyuma yako
 
Wazawa wapi,Mengi ndie wazawa?mbatia hakutakiwa kuropoka,tena halikua swali lake,tena swali halikuhusu gesi,ni chumvi yeye akajiropokea Mengi anaonewa,kwa hiyo anayeitaka gesi ni Mengi na sio wazawa.

Mengi leo hii na wazawa wenzake wanavyojiita(inajulikana mengi anatumia mgongo wa wazawa kutaka ajinufaishe) wakipewa vitalu vya gesi watavifanyaje ili gesi itoke?hawana hela. Mwisho wataenda kutafta wawekezaji nje,na huo udalali ndio haukubaliki. Sio ulilie nyama ya mfupa na meno huna alafu upewe kisha umtafte mwingine aile. HILO JAMBO HALIKUBALIKI.

Acha ujinga wewe.. unataka watu watembee na malori ya hela. Wazawa wapewe vitalu,wakusanye mtaji, watafute mikopo, waingie ubia, wafanye njia yoyote kukuza mtaji na kuweza kuvuna hiyo gesi. Kwanini mnapenda kujiweka nyuma sana, yaani umesha conclude kuwa Watanzania wote hawana mtaji?
 
Ili kujenga natural gas plant uvune gas inahitajika Dola kati ya Bilioni 20 na 30, utajiri wa Mengi ni dola milioni 500, na huo ni pamoja na majengo na viwanda, sio cash, mnaomtetea tuelezeni atawekeza vp? njooni na data sio porojo.

You are definitely missing the point. Make some efforts not to personalize the argument on the table. Remember, this is not about Mengi as an individual in a country of over 45 million people. Remember, you only need control over a resource to attract capital (which is plenty out there).
 
Hivi nauliza kwa nini Mzee Memgi anapenda ugomvi wa maneno na viongozi wa serikali na hata wafanya biashara wenzake? Mfano; nimewahi kusikia ana suguana na, baadhi ya wabunge mawaIri nk

He is a very hazardous disaster in this country. Ni mgomvi kwa kila mtu anaeshindana nae alafu mbaya zaidi anataka hata sisi tusiohusika tushiriki huo ugomvi kwa kumtetea,atalalamika apate public sympathy kwa faida yake. Ameua Nbc,anataka sasa aiuwe na tpdc.
 
We mpuuzi nini ? Yaani unashikia bango wageni kuliko wazawa ? Kuna ubaya ngani hata mengi akipewa vitalu ?? Na hata kama akifanyia udalali lipi mbaya?? Yeye ni mtanzania na hata hela za udalali zitabaki Tz kuliko kuwapa madalali wa kigeni na kujiita wawekezaji wa kigeni kumbe ni madalali wa kigeni tu. Huyo muhongo hana lolote cha kutuambia ,ameshapata 10% yake.alilopoka kwamba mikataba ni ya ovyo na inaitajika kuangaliwa upya kule uingereza,leo hii kauza vitalu vyote hata kumpa mzawa mmoja. Wewe uoni hii ni hatari kwa rasilimali yote ya Taifa kushikwa na wageni??acha upuuzi wewe au mhungo babaako nini??au umeshapokea 10% nini??

nawewe usiwe mpuuzi TPDC ni ya kigeni!?
 
Acha ujinga wewe.. unataka watu watembee na malori ya hela. Wazawa wapewe vitalu,wakusanye mtaji, watafute mikopo, waingie ubia, wafanye njia yoyote kukuza mtaji na kuweza kuvuna hiyo gesi. Kwanini mnapenda kujiweka nyuma sana, yaani umesha conclude kuwa Watanzania wote hawana mtaji?

Nitajie mtanzania anaemiliki $ 10 billioni. Maana tpdc imeweka utaratibu kua mtu yoyote anaetaka kitalu aonyeshe 50% mtaji(cash) alafu mkopo uwe 50%. Maana kujenga planti moja ya gesi ni $ 20 billion.

Iko hivi hata wakipewa hao wazawa kitalu bure kuchimba gesi hawataweza maana mtaji wa kujenga plant moja ni $20 billioni,zaidi ya budget ya tz. Nani ataweza?!nipe majina ya hao wazawa mkuu. Tuache porojo tuje na facts. Gugo uone alafu uje tuongee. UDALALI IS STRICTLY PROHIBITED.
 
Back
Top Bottom