Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???

Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.

Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.

Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.

Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.

Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.

Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.

MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.

Umeongea vizuri sana ila kwenye RED umeharibu na point zako zote zimeonekana poor.
 
Hivi Mbatia anamwakilisha nani bungeni? haya ndio matatizo ya kuwa na viti maalumu wasiojua hasa wanaowawakilisha. Matokeo yake wanageuzwa kuwa mavuvuzela ya watu wenye pesa. Sikusikia Prof. Mhongo akimtaja Mengi kwenye majibu yake ya swali la awali la Mbatia kuhusu wachimbaji waoogo. Ila alipojibiwa tu akaona ndio fursa ya kuongelea mambo ya Mengi.
Anawawakilisha hawa hapa:-
Swai, Laswai, Tarimo, Tairo,Mboya, Mbowe, Tesha, Temu, Temba, Tilia, Mlay, Mlaki, Maleko, Mallya, Mramba, Mrema, Mremi, Mtei, Matei, Matoi, Mtoi, Moshi, Mushi, Mosha, Massawe, Mongi, Mengi, Minja, Munisi, Munishi, Meena, Munuo, Marandu, Marialle, Mbuya, Mbatia, Maro, Kimaro, Kyara, kinabo, Kisanga, Kundy, Kwayu, Kwayi, Kombe, Kileo, Kavishe, Kitilia, Shirima, Shayo, Shoo, Shao, Shio, Shuma, Ngoi, Nderimo, Ndericho, Nderingo, Ndesario, Nyange, Njau, Lyimo, Urassa,

Mengi nae ndio walewale tu,japokuwa anajidai ana uchungu na watu wa nchi hii
 
Duuh! Naona unatupa za uso tu bila kujali kama mlengwa amevaa miwani au la.
 
Mengi nae ndio walewale tu,japokuwa anajidai ana uchungu na watu wa nchi hii

Eti anajidai ameanzisha kikampuni anadai ni kampuni ya wananchi.Mengi amejilimbikizia vitalu vya madini kibao bila ya kuviendeleza (anasubiri udalali)huku wachimbaji wadogowadogo wakihangaika kutafuta maeneo, anataka pia kufanya udalali wa vitalu vya gesi anapingana na maamuzi ya watanzania kumilikishwa kupitia TPDC na STAMICO.
 
Mengi nae ndio walewale tu,japokuwa anajidai ana uchungu na watu wa nchi hii
Eti anajidai ameanzisha kikampuni anadai ni kampuni ya wananchi.Mengi amejilimbikizia vitalu vya madini kibao bila ya kuviendeleza (anasubiri udalali)huku wachimbaji wadogowadogo wakihangaika kutafuta maeneo, anataka pia kufanya udalali wa vitalu vya gesi anapingana na maamuzi ya watanzania kumilikishwa kupitia TPDC na STAMICO
 
Mengi alilalama pia alipoikosa kuuziwa Kilimanjaro Hotel wakati ni wazi hakuwa na vigezo vya kupewa hiyo hotel. Hana taaluma ya hotel, hana uzoefu na wala hana mtaji.
 
Jamani baba Wawili (Mengi) ana mengi!!!! Ka-team up na Mkono sasa imekuwa Mkono una Mengi! Janja yao ni kuwashusha chini Muhongo na Maswi maana hao ni mwiba kwenye maslahi yako. Baada ya viongozi hao kupiga chini deal la Mkono la kupata mabilioni ya TANESCO eti alikuwa akiiitetea TANESCO kwenye kesi za IPTL na kuziba mianya ya udalali wa Mengi basi ndo wame-team up ili wawatoe kwenye hiyo Wizara ili waendelee kula mali za watanzania. Bull shit kabisa... Wanaowatetea hao mabwana ama wamepewa rushwa au ni mbumbumbu wa akili. Halafu wamewanunua baadhi ya waandishi wa habari na baadhi ya magazeti ili wawachafue viongozi hao wachapa kazi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni....pale Wizarani pamenyooka sio kama enzi za Ngereja. Ukiwa na ishu zako pale halafu ukaletewa longolongo wasiliana na hao viongozi uone mambo.... Chezea Muhongo na Maswi!!!!
 
Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.

Matatizo katika nchii hii ni makubwa zaidi tunavyofikiria. Wonders shall never end...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

Mkuu FaizaFoxy, napinga maoni yako kwa kuwa Mengi anaongelea suala la kuwezeshwa wazawa kumiliki uchumi wao na si wageni. Kulingana na sera ya Uwezeshaji alimimia 95 ya uchumi imeshikiliwa na 5% ya matajiri or wawekezaji na 5% ya uchumi na watz 95%. Sera inaelekeza shareholding na Joint Venture na serikali iwe na Guarantee Scheme kwa wazawa!! BOT kulikuwa na Guarantee Scheme ila sijui inafanya kazi gani? Wazawa ni lazima tumiliki rasilimali zetu. Mzee Mengi tusemee, stand out of the crowd!!! Wote hatuwezi kusema itakuwa fujo tutapigwa mabomu, acha Mengi atusemee. Yawezekana Muhongo si Mtanzania, he is less concerned!! Muhongo anawakilisha 5% inayomiliki rasilimali kwa 95%, inclusive through heavy 10% and shares!!! Why care!!
 
hakuna ugomvi bali hawa watu wana pishana mitazamo tuu!

Wala hakuna uwekezaji utakao haribika na wataelewana soon!

Msilikuze hili jambo!
Umeusemea moyo wangu. Mengi naa Muhongo hawajawi kugombana. Wamehitilafiana kimitazamo tu. Tatizo ni kwamba wote au mmoja wao wametoa maneno ya kejeli na kuudhiana. Hii imewafanya hata wananchi ku-take sides.
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.
Tatizo lenu mnawakaribisha wawekezaji mpaka kwenye Mama Lishe!
 
Anawawakilisha hawa hapa:-
Swai, Laswai, Tarimo, Tairo,Mboya, Mbowe, Tesha, Temu, Temba, Tilia, Mlay, Mlaki, Maleko, Mallya, Mramba, Mrema, Mremi, Mtei, Matei, Matoi, Mtoi, Moshi, Mushi, Mosha, Massawe, Mongi, Mengi, Minja, Munisi, Munishi, Meena, Munuo, Marandu, Marialle, Mbuya, Mbatia, Maro, Kimaro, Kyara, kinabo, Kisanga, Kundy, Kwayu, Kwayi, Kombe, Kileo, Kavishe, Kitilia, Shirima, Shayo, Shoo, Shao, Shio, Shuma, Ngoi, Nderimo, Ndericho, Nderingo, Ndesario, Nyange, Njau, Lyimo, Urassa,

Duh we noma!Hujabakiza kitu yani!
 
Mengi ni mtu hatari sana aisee , huyu jamaa hizi media zake zinampa kiburi ilikuwa vizuri wangembana Fulani kusaidia mtu wawe na media zenye nguvu zaidi yake au kumfilisi tu arudishe hela zetu za NBC , ni mbinafsi siku zote tatizo anapambana na prof muhongo huyu sio mwanasiasa ni msomi tu kaitwa alinde kiti cha kisiasa tofauti sana na wale wabunge mawaziri aliokuwa anagombana nao miaka yote , umeshaambiwa taratibu , Hilo kampuni la kitanzania hata liki raise dola mil 100 unaambiwa sio guarantee pale kuna mafuta kwa hiyo billion ngapi zitatumika kufanya bahati nasibu ameshatupiga kule kwenye NICOL
 
Hata wale aliowapa ajira kwenye kampuni zake wanatoka katika hizo koo. Think beyond your nose!!! Joyce Mkurugenzi anatoka ukoo gani hapo, Deo Rweyunga anatoka ukoo gani hapo, yule Channel Director wa ITV anatoka ukoo gani hapo? Wale watumishi Lukuki wanatoka ukoo gani hapo? Acha kuleta ukabila hapa. Mengi ametusaidia wengi ambao hatutoki Kilimanjaro na tumetoka hasa!!! Sijui ni nani ameleta hii chawa ya ukabila Tanzania. So sad kama tutaendesha nchi kwa mentality hizi no wonder ndiyo maana tunadidimia badala ya kwenda mbele!!
 
Mbona Wabongo mna vichwa vigumu sana kuelewa?Ishu hapa si Mengi kupewa vitalu bali hoja hapa ni Watanzania wapewe umiliki wa vitalu na hayo mawazo yenye ya kwamba oil & gas projects are risky so the government cannot have its hands on the projects is funny, Ikiwa haya ndiyo mawazo na hofu za serikali zinazowasukuma kuamua kuwapa wageni wamiliki hii miradi ya gesi na mafuta kwa 100%,Huu ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu sana.
 
Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???

Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.

Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.

Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.

Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.

Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.

Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.

MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.

Adui wa mzee Reginald Mengi ni MaCCM, ambayo yanasikitishwa sana kwamba ITV haina mrengo wa kifisadi na wala haihongeki. Wangetamani sana ITV ifungiwe ili watanzania wawe gizani.
Ugomvi uko kwenye Television yake; kuna asiyejua hilo? Ndio maana kila mwaka wanamfanyia visa vya kitoto.

Ila mzee Mengi ni ngangari, mfano wake hakuna! Mtu mwingine asingeweza kuvumilia kwa kiwango hiki.
 
Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.

Comment za namna hi pamoja na akina Muhongo ndizo zinazonifanyaga niamini kua Watanzania tumelogwa, sijui kama kuna mtu anaweza kunishawishi vinginevyo! Kenya tu hapo, huwezi toa comment ya kijinga namna hi na watu wakuone we wa maana!
 
Hata wale aliowapa ajira kwenye kampuni zake wanatoka katika hizo koo. Think beyond your nose!!! Joyce Mkurugenzi anatoka ukoo gani hapo, Deo Rweyunga anatoka ukoo gani hapo, yule Channel Director wa ITV anatoka ukoo gani hapo? Wale watumishi Lukuki wanatoka ukoo gani hapo? Acha kuleta ukabila hapa. Mengi ametusaidia wengi ambao hatutoki Kilimanjaro na tumetoka hasa!!! Sijui ni nani ameleta hii chawa ya ukabila Tanzania. So sad kama tutaendesha nchi kwa mentality hizi no wonder ndiyo maana tunadidimia badala ya kwenda mbele!!

Si unajua haya makabila madogo yaliyochelewa kujanjaruka!!??Badala ya kutafakari nini wafanye ili kuboresha jamii zao zilizobaki nyuma kimaendeleo wao wako busy kuyashambulia makabila yaliyowahi kujanjaruka kama ya Wachagga,Wahaya na Wanyakyusa.
 
Back
Top Bottom