GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,695
- 6,398
Hata akimfanya ndiye mtunzaji wa hela yake ni sawa tu. Mwingine atajisikia vizuri sana. Unampatia hela yako yote, siyo atumie, bali aitunze tu. Siku ukihitaji unamwambia akupatie. Wengi hujisiia vizuri kupewa hiyo "heshima"Sikiliza
Toa Hela nusu ya mshahara panga name bajeti ya mwezi mzima halafu mpe hiyo nusu aongozane na watoto wake wote kununua mahitaji ya mwezi mzima!!
Wanawake wanapenda kununua nunua sana Ili waonekane na WA awake wenzao kwamba Wana nunua!!
Halafu uone uelekeo!
Kama unampa Hela kidogo kidogo ya chumvi atakua omba omba !nyingine ummpe kama ya ziada hivi in case of emergency!
Nyingne mwambie naweka akiba for future!!
Wanapenda kujazwa manoti wanunue nunue!!!
Jaribu!