Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
Hakika love pesa na amani ya moyo!Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
Nakushauri umtafutie shughuli au biashara ya kufanya ili awe busy na pia aweze kujua uchungu wa pesa. Kila mwanadamu anatakiwa kujishughulisha ili aweze kupata kipato kwa kazi yake. Anaposema hana mchango hiyo ni wewe ndio umesababisha awe hivyo. Hajui thamani ya pesa kwa kuwa hajui inavyotafutwaUshauri
🤣🤣🤣🤣🤣Nakushauri umtafutie shughuli au biashara ya kufanya ili awe busy na pia aweze kujua uchungu wa pesa. Kila mwanadamu anatakiwa kujishughulisha ili aweze kupata kipato kwa kazi yake. Anaposema hana mchango hiyo ni wewe ndio umesababisha awe hivyo. Hajui thamani ya pesa kwa kuwa hajui inavyotafutwa
Halafu dunia ya sasa hivi ukiwa provider peke yako utakufa siku sio zako. Zamani iliwezekana kwa kuwa maisha yalikuwa na mahitaji machache. Leo mnatakiwa kulipa kodi ya nyumba, ulipe umeme, ulishe familia, usaidie wazazi wa pande zote, ulipe ada, ulipe school bus, ulipe DSTv, na Azam, Maji na umeme, mafuta ya gari, nguo za mke na mtoto, mke nae atake hela zote uweke mezani walahi unawehuka asubuhi na mapema. Mtengenezee mazingira ya kujitegemea mahitaji yake na mengine madogo madogo ya nyumbani
Mfungulie biashara yoyote mkeo mkuu, mbona mambo hayo ni madogo tu mpaka uje kuomba ushauri huku?Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!
Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira
Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons
Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".
Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.
Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.
NIFANYAJE WANA JF?
Kujua siyo tatizo tatizo ni huko kuwekwa kikaangoni kila siku.Umeleta demokrasia kwa nyumba kwa nni mkuu ?? Hv unakubalije mkeo ajue hela zako zikiingia na kiwango chake ?? Kama mwanaume unastahili kuwa na akiba fiche isiyojulikana na mkeo.
Matumizi ya nyumba hayapaswi kuzidi 45% ya mshahara nyingine weka kama akiba .
Usiwe mwepesi wa kuendeshwa, kuwa mwanaume
Mpe zote, kama hakibaki kitu mnatumia zote, unazibania za nini?Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!