Ugomvi na mke wangu kila nikipata pesa

Ugomvi na mke wangu kila nikipata pesa

Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?

Mke wako EQ yake IPO chini Sana , anasumbuliwa na kitu kinaitwa "scarcity mindset"

Scarcity mindset ndo inamfanya afikiri kuwa hela ukikaa nayo wewe waweza itumia kwa matumizi binafsi

So the something to do , mfanye awe na abundance mindset ,tofauti na hapo Anaweza kukufanyia jambo baya wakati wa mbele
 
Inategemea ni couple ya ina gani ila
kama ni husband na wife mtakosaje budget?uhusiano ulio committed wengi huwa na budget.

Je,unazungumzia couple kwa muktadha upi?
mke & mume kama mleta mada

kama wako na budget halafu ke ameanza ghafla tu kutumia hela hovyo basi inakua rahisi kujua kuna sababu nyuma ya pazia
 
Pole sana Afisa.

Naomba nikupe wazo, kaeni chini mzungumze kwa kuambiana ukweli na matokeo ya matamanio ya kila mmoja wenu; mfano (wewe kumuelezea matokeo ya ushauri wake anaokupa kila mara kwako) na (yeye akuambie matokeo ya ushauri wako kwake unaomwambia kila mara).

Jiepusheni na maisha ya kujifananisha au kujilinga nisha na watu, wafanyakazi au jamii inayowazunguka kwa kipato; maana hii imekuwa sumu hasa kwasasa katika familia nyingi aidha wote muwe watumishi au mmoja wapo.

Mwisho

Muwe mnasali kwa pamoja ndani ya nyumba yenu (wewe, mkeo na wanao). Pia, jiwekeeni utaratibu wa kuombeana na kuwa marafiki yaani siku moja moja mnataniana, kusaidizana kazi za nyumbani, out kidogo nk
Hii tunafanya sana sana...tena haswa nikiwa sina pesa mapenzi yanakuwa ya moto sana
 
Sasa kwanini mnakuwa hivyo, tena kama kisirani hata mama zetu walikuwa navyo ila nyie wa sasa hivi visirani vyenu jumlisha na utandawazi ndiyo kabisa mme kuwa bogus 😂 sorry for saying bogus. Yaani mmekuwa haamna akili, mna pelekeshwa na mitandao tuu
🥴😛
 
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?
Badilishaneni tuu majukumu, wewe uwe mama wa nyumbani mkeo akatafute pesa. Hela za operation uwe mke unazo? Au unatikiri utatiwaje mimba mkishabadilishana majukumu wewe uwe mke mama wa nyumbani na yeye awe mumeo akatafute pesa?
 
Mwanamke wa nyumbani anataka akae ma pesa za nini zaidi ya ameombwa na kibenten chake anataka akahonge.
 
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?
Huna mke hapo mkuu samahani lkn.
Huyo mke siku ukipata Mali kukutangulia kwa sir God ni kufumba na kufumbua
 
Samahani lakini naona mkeo Kama kakuzidi ujanja Yani nyumba kaizibiti unachotakiwa punguza upole ishi Kama Mume kuwa na misimamo yako na uwe mkali
 
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?
Jaribisha kwa miezi miwili hivi kufanya "mhasibu" wako. Mpatie hela yote uone akutunzie uone utofauti.

Huenda ana "njaa" ya kushika hela. Akizishikashika, anaweza akaridhika.

Baada ya kufanya hivyo kwa miezi miwili, unaweza ukawa umeshapata namna bora zaidi ya "kuhandle" your marital finances.
 
Back
Top Bottom