GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,861
Inashauriwa, "couple" wawe na account ya pamoja ya hela yao.Inategemea ni couple ya ina gani ila
kama ni husband na wife mtakosaje budget?uhusiano ulio committed wengi huwa na budget.
Je,unazungumzia couple kwa muktadha upi?