Ugomvi na mke wangu kila nikipata pesa

Ugomvi na mke wangu kila nikipata pesa

Pole sana Afisa.

Naomba nikupe wazo, kaeni chini mzungumze kwa kuambiana ukweli na matokeo ya matamanio ya kila mmoja wenu; mfano (wewe kumuelezea matokeo ya ushauri wake anaokupa kila mara kwako) na (yeye akuambie matokeo ya ushauri wako kwake unaomwambia kila mara).

Jiepusheni na maisha ya kujifananisha au kujilinga nisha na watu, wafanyakazi au jamii inayowazunguka kwa kipato; maana hii imekuwa sumu hasa kwasasa katika familia nyingi aidha wote muwe watumishi au mmoja wapo.

Mwisho

Muwe mnasali kwa pamoja ndani ya nyumba yenu (wewe, mkeo na wanao). Pia, jiwekeeni utaratibu wa kuombeana na kuwa marafiki yaani siku moja moja mnataniana, kusaidizana kazi za nyumbani, out kidogo nk
 
Ndiyo ukweli mkuu
Sasa kwanini mnakuwa hivyo, tena kama kisirani hata mama zetu walikuwa navyo ila nyie wa sasa hivi visirani vyenu jumlisha na utandawazi ndiyo kabisa mme kuwa bogus 😂 sorry for saying bogus. Yaani mmekuwa haamna akili, mna pelekeshwa na mitandao tuu
 
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?
Mtoto umleavyo
 
Sikiliza

Toa Hela nusu ya mshahara panga name bajeti ya mwezi mzima halafu mpe hiyo nusu aongozane na watoto wake wote kununua mahitaji ya mwezi mzima!!

Wanawake wanapenda kununua nunua sana Ili waonekane na WA awake wenzao kwamba Wana nunua!!

Halafu uone uelekeo!

Kama unampa Hela kidogo kidogo ya chumvi atakua omba omba !nyingine ummpe kama ya ziada hivi in case of emergency!

Nyingne mwambie naweka akiba for future!!

Wanapenda kujazwa manoti wanunue nunue!!!

Jaribu!
 
Umeleta demokrasia kwa nyumba kwa nni mkuu ?? Hv unakubalije mkeo ajue hela zako zikiingia na kiwango chake ?? Kama mwanaume unastahili kuwa na akiba fiche isiyojulikana na mkeo.
Matumizi ya nyumba hayapaswi kuzidi 45% ya mshahara nyingine weka kama akiba .
Usiwe mwepesi wa kuendeshwa, kuwa mwanaume
 
Kumdekezs mke wako ni jambo zuri lakini ikipitiliza ndio inakuwa hivi.

Usimzingatie sana. Mwanamke ilizidisha kumzingatia ndio inakuwa hivi.
Wewe muache aongee, usiyamtilie maanani
 
Yeye si haoni unachofanya?
Sasa unesha ununda, muoneshe usiri aijue chochote, Ataona utofauti siku utasikia akisema umebadilika, hapo ndio akili itakaa sawa kama ulikua unamjali.

Unadhani hajui jitihada zako? Wanawake wengi ni wagumu Sana ku appreciate jitihada.
 
Pole sana rafiki,nafikiri hamjakaa na kueleweshana kiusahihi bali mnaishia kuzozana tu,(jaribu hilo).

Kama income yote inaishia kwenye matumizi,inamaana hapa hauna hata akiba na changamoto ikitokea tegemea makubwa zaidi ya hayo toka kwa mkeo (jiongeze,kuwa na akiba ambayo yeye hatoifahamu pia kwa aina ya mwanamke uliyenae si dhambi..fanya hivyo)...
 
hivi couples wanakuwaga na budget?
 
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?
 
Yaani imekuwa kila mara nikipata pesa mke wangu analeta kamzozo.. Mpaka imefika mahala nawaza au hapendi nipate pesa!

Nikipokea mshahara mara zote anasema nitoe pesa yote benki nilete mezani. Ofcourse anaweza akawa na hoja zake kuwa hata zikikaa benki huwa tunazitumia na zinaisha haibaki hata senti. Nikimwambia pesa hazitolewagi zote benki haelewi hata kidogo anakuwa mkali sana na anazira

Pia analalama sana kuwa mimi ni mbinafsi kwenye suala la pesa; kitu ambacho nikijitathimini naona kama ananionea tu, over 90% of my income inaishia kwenye matumizi ya familia, sinywi pombe wala sihongi. I am a family man with three sons

Nikimuuliza mke wangu mbona unakuwa mkali kuhusu suala la pesa anazira huku akiniambia kwa kejeli "Samahani nimekuingilia kwenye pesa zako".

Na mara nyingi sana huwa ananilalamikia kuwa nafanya maamuzi yanayohusu pesa mwenyewe kwasababu yeye hana mchango wowote wa kipesa anaounesha kwenye familia; mke wangu ni mama wa nyumbani by default analea watoto watatu.

Imefika mahala mpaka natamani tubadilishane majukumu. Nikae nyumbani yeye akatafute hizo pesa ambazo huwa natafuta ili aridhike na aone kuwa ana mchango kwenye hii familia.

NIFANYAJE WANA JF?
Mkeo Kabila Gani Mkuu
 
Je amewahi kutaka kufanya kazi na wewe ukamkatalia ukamwambia akae nyumbani?
Kama umewahi kumzuia ni bora kumruhusu tofauti na hapo gubu halitokaa liishe
 
Ndo maana nyumba zimebaki na wajane wengi sisi wanaume mara nyingi hatupendi kelele sasa ile kutaka amani tunafanya vitu ambavyo baadae vinatuletea matatizo tunakufa mno
 
Back
Top Bottom