Watu wa Tume ya uchaguzi wanasemaje kuhusu hili? Tendwa aulizwe!
Wewe mpaka leo hujafahamu kwamba tume tuliyo nayo ni chama cha magamba? Unategemea watasema nini zaidi ya kujifanya kama hawaoni vile? Tendwa naye kawekwa hapo kulinda masilahi ya magamba, unamtegemea saidie nini huyo?Watu wa Tume ya uchaguzi wanasemaje kuhusu hili? Tendwa aulizwe!
Yaani yote tunayoambiwa RA kafanya Igunga na kuwa serikali imefanya kwenye hili la usalama wa chakula imekuwa vipi?
Kugawa chakula wakati wa kampeini hiyo ni rushwa kama ya Jairo,chukueni ushahidi kama mbaya mbaya inaweza kutumika mahakamani!!!!!!!!!!!!!Magamba kwa rushwa ndio wenyewe, hiyo ni last stroke sasa wanawayawaya!!!!!!!!hata kwa akili ya kawaida m2 hawezi kusema ugawaji wa chakula katika jimbo la uchaguzi igunga ni hali ambayo haikupangwa, kama wananchi wa igunga watahadaika na chjakula cha misaada imekula kwao, nawashauri chakula wapokee lakini mmgombea wamchague mwenye vgezo na c mtoa chakula!
Miaka hamsini ya uhuru walikuwa wapi wasilete maji wangojee uchaguzi, wana Igunga msidanganyike watose tuu CDM mbele kwa mbele!!!!!!!!Unajua mimi kwa kweli nawashangaa sana watanzania, tumesikia sana haya ya Rostam kafanya mambo makubwa Igunga lakini nikiziona picha za huko inaonyesha ni mojawapo ya sehemu duni mno katika Tanzania, na eti huko ndiyo fisadi mkuu anayedaiwa kufanya mambo makubwa anatokea huko. Nimeshangaa kusikia Kafumu akisema atawaleletea maji kutoka ziwa Victoria ili waachane na maji ya visima...... Sasa hayo mambo makubwa ya Rostam ni yepi?
Kweli hii inachekesha ebu jumlisha na hotuba ya Mkapa kwamba Igunga ya leo ina nafuu hivi watu wanaolala nja huwa wananafuu kweli? Mbona CCM hii inafanya usanii na maisha ya watu?Yaani yote tunayoambiwa RA kafanya Igunga na kuwa serikali imefanya kwenye hili la usalama wa chakula imekuwa vipi?