ugawaji chakula cha misaada igunga!

Barbaric

Member
Aug 14, 2011
34
9
hata kwa akili ya kawaida m2 hawezi kusema ugawaji wa chakula katika jimbo la uchaguzi igunga ni hali ambayo haikupangwa, kama wananchi wa igunga watahadaika na chjakula cha misaada imekula kwao, nawashauri chakula wapokee lakini mmgombea wamchague mwenye vgezo na c mtoa chakula!
 
Kuna nin mkuu? Hebu tuambie,nani anagawa chakula na kwa sababu gani?
 
hata neti za bush baadhi ya maeneo ziligawiwa wiki kabla ya uchaguzi mwaka 2010 lakini walitupwa vibaya. igunga kama ni kweli nilivyosoma kwenye thread moja wanasema kula ccm kupiga story cuf kulala chadema ni kweli kuleni lalini mnajua la kufanya debe moja huwezi kula hata wiki mbili kataeni kataeni kataeni! wameona tshit zimeshtukiwa sasa wamehamia kwenye misosi .
 
khe! magamba NOOMA! TONGE MOJA TU LA ZIADA LITAAKUUMBUA MWANAIGUNGA!
KWA MIAKA MINNE!
 
Watu wa Tume ya uchaguzi wanasemaje kuhusu hili? Tendwa aulizwe!
Wewe mpaka leo hujafahamu kwamba tume tuliyo nayo ni chama cha magamba? Unategemea watasema nini zaidi ya kujifanya kama hawaoni vile? Tendwa naye kawekwa hapo kulinda masilahi ya magamba, unamtegemea saidie nini huyo?
 
Aaah Wazee, Kama Mkubwa ananunulika kwa Suti tu, itakuwaje kwa hawa wadogo! Tafakari, Chukua hatua.
 
Hiyo ni takrima jamani...au mmesahau kampeni kafungua Mkapa mzee wa Takrima?
Nashangaa TAKUKURU walishaiharamisha takrima lakni wako kimya!....naona hiyo taasisi tungeita tu ...tak.o kuu.
 
Mh. Mkapa alinukuliwa wakati wa uzinduzi wa kampeni akisema watagawa chakula!
 
Yaani yote tunayoambiwa RA kafanya Igunga na kuwa serikali imefanya kwenye hili la usalama wa chakula imekuwa vipi?

Unajua mimi kwa kweli nawashangaa sana watanzania, tumesikia sana haya ya Rostam kafanya mambo makubwa Igunga lakini nikiziona picha za huko inaonyesha ni mojawapo ya sehemu duni mno katika Tanzania, na eti huko ndiyo fisadi mkuu anayedaiwa kufanya mambo makubwa anatokea huko. Nimeshangaa kusikia Kafumu akisema atawaleletea maji kutoka ziwa Victoria ili waachane na maji ya visima...... Sasa hayo mambo makubwa ya Rostam ni yepi?
 
hata kwa akili ya kawaida m2 hawezi kusema ugawaji wa chakula katika jimbo la uchaguzi igunga ni hali ambayo haikupangwa, kama wananchi wa igunga watahadaika na chjakula cha misaada imekula kwao, nawashauri chakula wapokee lakini mmgombea wamchague mwenye vgezo na c mtoa chakula!
Kugawa chakula wakati wa kampeini hiyo ni rushwa kama ya Jairo,chukueni ushahidi kama mbaya mbaya inaweza kutumika mahakamani!!!!!!!!!!!!!Magamba kwa rushwa ndio wenyewe, hiyo ni last stroke sasa wanawayawaya!!!!!!!!
 
Unajua mimi kwa kweli nawashangaa sana watanzania, tumesikia sana haya ya Rostam kafanya mambo makubwa Igunga lakini nikiziona picha za huko inaonyesha ni mojawapo ya sehemu duni mno katika Tanzania, na eti huko ndiyo fisadi mkuu anayedaiwa kufanya mambo makubwa anatokea huko. Nimeshangaa kusikia Kafumu akisema atawaleletea maji kutoka ziwa Victoria ili waachane na maji ya visima...... Sasa hayo mambo makubwa ya Rostam ni yepi?
Miaka hamsini ya uhuru walikuwa wapi wasilete maji wangojee uchaguzi, wana Igunga msidanganyike watose tuu CDM mbele kwa mbele!!!!!!!!
 
Wakuu,
Mi nadhan ni wakati wa wana wa Igunga kuvuna kile walichokuwa analima na hawakipati! Ccm walishawahi kufanya hivyo Moshi. Cdm walikuja na kauli mbiu ya kula ccm na kulala cdm. Ni kuwaelewesha wana wa Igunga kwamba haya ni mapito ya wiki chache na wanatakiwa wawekeze kwa mtu wa miaka mi4. Wakielewana, then hakuna wasiwasi!
 
Kwahiyo waliwafanya watu wawe na njaa ili waitumie hiyo njaa kuwapumbaza na kuwa hadaa watu?
 
kwa wana igunga hicho ni kipimo tosha cha ccm kushindwa kutawala kama ilivyo somalia, wananchi kugawiwa chakula cha njaa baada ya miaka 50 ya uhuru
 
Yaani yote tunayoambiwa RA kafanya Igunga na kuwa serikali imefanya kwenye hili la usalama wa chakula imekuwa vipi?
Kweli hii inachekesha ebu jumlisha na hotuba ya Mkapa kwamba Igunga ya leo ina nafuu hivi watu wanaolala nja huwa wananafuu kweli? Mbona CCM hii inafanya usanii na maisha ya watu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom