Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

Watu wenye Uwezo mdogo wa kufikiri ( Low IQ) hupenda kuporomosha matusi pale wanaposhindwa katika mijadala mbalimbali kama njia ya Defensive Mechanism!!! (Sigmund Fraud, 1894)
 
Kenya na Uganda ni ndugu na majirani wa kweli!! Haya mambo ya mikwaruzano ya kibiashara ni ya kawaida maana kila nchi inapigania maslahi yake!! Lakini linapokuja suala kubwa kama la msiba, tofauti ndogo ndogo lazima ziwekwe pembeni!! Hao wengine tuklae nao kwa akili!!
 
Back
Top Bottom