Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Geza Ulole wacha chuki dhidi ya Kenya. Pata somo la historia kwamba Kenya tulikataa ardhi yetu kutumiwa na Libya waliokuwa wanasaidia Iddi Amin kupiga Tanzania.Tatizo watu wanafuata mambo ya Utani kwenye hii mitandao. Ukitoka nje ya Afrika Rafiki wa Mkenya ni Mtanzania & Vice versa.!! Kwa sababu wote wanaongea kiswahili
Ukisoma historia kwenye majanga Nchi hizi zimekua zikisaidiana.
Soma kwenye Historia "Kagera War 1978-1979 jinsi Kenya chini ya Rais Arap MOI ilipokataa ardhi yake kutumika na Askari wa Lybia waliokua wanashirikiana na Idd Amin kuishambulia Tanzania