UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

Tusiwe Watu Wa Kukopa Maneno Tu Milele Acha Ugali Utambulike Kama Ugali Watu Wa Nje La Bara La Africa Wajue Mmalawi Akisema Nsima Anamanisha Ugali.
Tatizo sio hilo mkuu,fikiria umepata nafasi ya kwenda nje na ukataka kula ugali bila kuijua lugha ya wenzio umekwisha,tusijifungie kuelewa au kujua lugha za wengine hasa zile kubwa kunaumuhimu wake.
 
Ugali = yugalai, kwakua hawawezi kutamka ugali. Kwa Mfano, safari = safari na wanaitamka hivyo hivyo kwa maana hiyo hiyo.
 
Ugali ni chakula cha afrika na hakina kiingereza chake zaid ya lugha ya kingereza kuli tohoa ktk lugha ya kiswahili kama lilivyo so unaitwa UGALI
 
wakuu ma great thinkers namkuje huku tafadhari mniambie kuwa chakula cha UGALI kinaitwaje kwa kimombo? zawadi itakuhusu.

Mkuu maneno ugali, matoke , safari pamoja na sufuria yametoholewa na yanatumika hivyo hivyo katika kiingereza
 
Hii hali ya kutaka kila kitu chetu kiwe na jina la kizungu ipo siku mtaandamana matobolwa na michembe kama sio nswalu na ulanzi au nipa yaitwe kizungu.
 
Na ile kitu inayokua kwa mwanamke inayopendwa na vidume wengi inaitwaje kwa lugha yako?
 
Waingereza hawana utamaduni wa kula ndio maana hawana hilo neno badala yake sisi tukatengeneza neno letu kuwa ni STIF PORRIDGE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom