Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Waingereza hawana ugali nduguzanguni. Ugali ni ugali tu.
Japo wanaita stiff porridge nakubaliana na wewe. Inabidi watohoe neno ugali liwe kingereza pia. Nadhani wamefika mahali pilau wanaita pilau hivyo hivyo na kinaeleweka.