UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

Je mchicha unaitwaje(as opposed na chinese). Nisemapo mchicha nakusudia mchicha.
 
Je mchicha unaitwaje(as opposed na chinese). Nisemapo mchicha nakusudia mchicha.
Kumbe kuna maana nyingi za mchicha?? Hapa unamaanisha mchicha Ile mboga ya majeani??
 
ugali umetokana na mazingira yetu hivyo unaitwa UGALI...kwa kiingereza..wazungu walikosa jina la kuupa wababu haujatokana na mazingira yao
 
Hii ni kubwa zaidi tunavyojibu wengi humu. Ukimsoma Benjamini Wolf na yule mwenzake wao wanazungumzia kuwa thinking na lg vinamahusiano hivyo hawezi kufikiri kitu amabcho hakiko ktk lugha yako mf sisi tunajua barafu as ice lakini wanao ishi Iceland wanamajina mengi kurefer barafu au mhaya ana majina mengi kurefer ndizi kuliko mgogo. Waungereza hawana neno linalomaanisha ugali kwa kuwa hawana hiyo object
 
wakuu ma great thinkers namkuje huku tafadhari mniambie kuwa chakula cha UGALI kinaitwaje kwa kimombo? zawadi itakuhusu.
Niliwahi pitapita nchi za watu pande za Finn wao kwenye menu yao wameandika hard poridge
 
Hahaaaaaa, hii imenikumbusha miaka ya nyuma nikuwa chuo kuna mwl mmoja ndo alikuwa ametoka majuu kuchukua master yake, na siku moja akiwa class anasema. . how do you call stiff porridge in swahili? is it Yugalaey?? Haha jamaa alikuwa na mbwembwe huyo.
Lazima atakuwa katoka kanda za chuchu.
 
Back
Top Bottom