Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Kama utaula kwa picha ya samaki lazima uuchukie.Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Maskini ni mtu wa namna gani? Na chakula cha tajiri ni kipi? Kweli medulla yako ni yaku~install upya.
Hahaaaaa
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
umefurahii eeh
Yap,nimeongeza siku za kuishi
Nimeshapata ugali wangu hapa na dagaa, mchicha pembeni,safi...
Huyu mtoa mada anamatatizo
Nchi nyingi za wenzetu vyakula vya kikwetu ambavyo miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu sana kuvipata labda mpaka kwenye maduka ya wahamiaji siku hizi vimejaa belele tena kwenye supermarkets ni pumzi yako tu kama unathamini kula vyakula vya kikwetu au kama unataka kula uchafu wa vyakula vinavyotengenezwa kwa dakika tatu burger na fries. Huwa nawashangaa sana wanaosema ugali ni chakula cha kimaskini, sasa sijui ni kipi ni chakula cha kitajiri. Na kama unapenda kula ugali hata ukiwa tajiri bado utautamani tu ugali kwa nyama choma nzuri sana/samaki pembeni kuna mchicha....Acha unashusha mlima taratibu tena kwa raha zao siyo haya mavyakula hata ukiwa na njaa bado havikutamanishi.
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Inatakiwa afomati kwanza...... Maana medula ya kawaida haiwezi kuwaza hivyo
Acha uongo kijana.Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
sawa kabisa Mkuuchezea ugali wewe?kitu kinasimama.......?