fastjet alisema changanya na zakwako wewekibaraka mkubwa wa wamarekani! Soma vitabu kuhusu lishe, sio kila afanyacho mmarekani ni sahihi. Ndio nyie mnatumbukia kwenye ushoga kisa marekani unaruhusiwaMarekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Asikudanganye mtu, ugali ukiliwa kwa mboga yake nzuri - hayo mavyakula ya kizungu hayaoni ndani!
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo! No research no right to speak! Akili za kuambiwa changanya na za kwako! Ugali ndio chakula kikuu kwa sehemu kubwa ya Tanzania iwe wakati wa njaa au wakati mwingine wowote,Mleta mada inawezekana kalishwa sana ugali tu tangu akiwa mdogo bila mchanganyiko wa vyakula vingine hali ambayo imepelekea akili yake kuwa pumbafu hivyo uwezo wa kung'amua mambo kuwa mdogo.