Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

Shuleni kwetu haikuwahi kupikwa ugali maharage ilikua ni mwendo wa leo ikiwa makande kesho ni wali maharage
 
Ubwabwa tuliita pusti uji pora ugali majina ni mengi bondo dongo nguna kulikua na sahani kubwa za bati za pembe nne tuliita pampa rampa😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…