ChuiUgali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Hapo kwenye pora umenikumbusha wazee wa kupiga mluzi!Hata sikumbuki vizr, Ila nakumbuka uji walikuwa wanaita 'pora' kuna Mwamba alikuwa anakunywa uji kisado kizima na maandazi ya Amina mtoto WA mzee kinara
Wazee wa penda watoto wanakumbuka
Mazoezi ya jelaUgali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Pola!!!Wazee wa mililuzi hatuna banzi,wali tulikua tunaita wa-ndege!Hapo kwenye pora umenikumbusha wazee wa kupiga mluzi!
Mi nlipokuwa likizo nilimiss maharage. Na kwetu tulikuwa wavivu sana kuyapika. Ajabu sanaDongo na mashuzi!Cha kushangaza tulikua tukirudi home wazazi wanasema tumenenepa!!!
Aisee sisi tulikua na mwenetu lazima aje na mbilimbi na visamaki flan vya kuitwa nguluka au owono maharage tuliyaona matam sana!Mi nlipokuwa likizo nilimiss maharage. Na kwetu tulikuwa wavivu sana kuyapika. Ajabu sana