Bigger than life
Member
- Oct 23, 2020
- 93
- 94
Habari za jioni ndugu wadau.
Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama
Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku.
Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine (pellets) hapa au nje ya nchi, na mashine zipi/kampuni gani bora kwenye uten.
Zaidi naombeni ushauri wa hii biashara kuhusu faida na changamoto zake.