Animal nutritionionist sio formula tuu. Formula inatengenezwa kutokana na vyakula vinavyopatikana maeneo husika, Nutritient contents kwasababu mahindi yanayolimwa Songea na Dodoma nutritient content itatofautiani, bei ya chakula hicho katika maeneo husika. Kwahiyo kuna factors nyingi za consideration kabla ya kuanzisha kiwanda husika. Mambo ni mengi sana haya mambo hatuwezi kuyakamilisha humu ndio maana hizi ni course watu husomeaWewe ni mfugaji?? Nimeuliza maana moja ya changamoto wanayopata wafugaji ni formula za chakula. Ndio maana nikamtaka huyo mtaalamu aseme kama ashafanya utaalamu wowote na ukafanikiwa Kwenye formula za chakula.