Ufugaji wa Mbwa kwa biashara

Malila kuna mzee mmoja wa kongwa anauza nyuki wa kulinda shamba, na mwingine yupo mpwapwa anauza nyoka wenye mafunzo maalum.. vipi nikuunganishie kuimarisha ulinzi wa shamba lako?

Mkuu za siku?
Niunganishe naye mkuu, ukizingatia kuwa hao nyuki/nyoka watajirisha wenyewe.
 
profilepic15607_2.gif.jpg huyu hapa
 
Biashara ya mbwa inahitaji mtaji na uvumilivu maana utaninua puppy wa miezi 2, umtunze Kama mwaka na miezi kadhaa ndio uanze kupata matunda. Wengi huwa tunafuga kwa ajili ya ulinzi sasa wakizaa ndio tumauza, ndio maana wanakuwa wachache sokoni. Mbwa ni ghali kuliko watu wengi wavyofikiri. Kama mbwa anakuwa pure breed mfano, Rottweiler bei inafika hadi Sh. 1,500,000. Au zaidi.
 
Kila kitu ili kifikie soko zuri kinahitaji budget nzuri, muda si mrefu biashara ya mbwa itakuwa juu sana kwa sababu mbili kubwa, moja, walinzi wetu wa kawaida hawaaminiki sana siku hizi na wengi ndio hutoa taarifa kwa wezi na vibaka, pili hawa jamaa wanaokula kila kinachoonekana juu ya uso wa dunia wanawapunguza sana.

Siku si nyingi ilikuwa unaomba kwa jirani anakupa kitoto cha mbwa bure ili ukafuge kwako, sasa hivi hupati na wahuni wanawaiba kwa ajili ya kuwauza.Mbwa akifugwa vizuri ni mlinzi mwaminifu sana.
 
Am stocking these........hii mbegu niliipata toka Malawi (sadly to say so) .......siuzi kwa sasa.........ila ninao watatu wako preg wakifyatua ndio ntauza.

I hope hao mbwa hawana mafunzo ya kijasusi toka kwa mama banda kuja kutuchunguza.
Wakizaa usiuze kwa bei ya kifisadi mkuu
 
Fornunately wanyama hawana nationalities wala passports........meku niliaga Moshi kuja kutafuta pesa mjini.......ntakuuzia tu.........Tshs 400,000 for a two month old vaccinated puppy.......of either gender
 
Uwiiiiiii kumbe wewe ni Meku babangu? Ila hao wanyama ni dili sana sasa hivi utauza tu mkuu
 
Kwa anayejua soko la mbwa kama kitoweo, ninao wengi tu bei maelewano. nitumie PM tafadhali.
 
Toa na location ulipo ili tukufuate mkuu, unajua akina whang hoo wana vikambi pale Urafiki, naweza fanya biashara nao !!!!!
 
Ha ha ha ha ha Hua ni noma hawa jamaa wamejenga majengo mawili hapa Arusha Hotel inayotazamana na Ofisi ya mkuu wa mkoa na jengo lingine la NSSF linatazamana na kanisa la Anglicana Christ Church maeneo yote mawili walikuwepo mbwa koko wengi [Mbwa wasiotunzwa,wasikuwa na mwenyewe] leo hakuna mbwa anayezuruza hovyo wote wameliwa na hua ha ha ha.

Huaweii bana..........hapa ni buchani...sadly MBWA hana kongoro!!!!

a%2Bchina%2B3.jpg
 
Kila kitu ili kifikie soko zuri kinahitaji budget nzuri, muda si mrefu biashara ya mbwa itakuwa juu sana kwa sababu mbili kubwa, moja, walinzi wetu wa kawaida hawaaminiki sana siku hizi na wengi ndio hutoa taarifa kwa wezi na vibaka, pili hawa jamaa wanaokula kila kinachoonekana juu ya uso wa dunia wanawapunguza sana.

Siku si nyingi ilikuwa unaomba kwa jirani anakupa kitoto cha mbwa bure ili ukafuge kwako, sasa hivi hupati na wahuni wanawaiba kwa ajili ya kuwauza.Mbwa akifugwa vizuri ni mlinzi mwaminifu sana.

Mimi hata nsipofunga gate waje tu watakutana nao. Wako 5 wa kufa mtu. Hata mbwa wa jirani akisogea tu kesho yake msiba! Lazima waue. Wakiwa kazini hawana masihara hata kidogo. Nilileta Rottweiler toka Kenya alikuwa na 1 month nililipia 50,000kshs. Wacha usumbufu wa border!
Tatizo polisi wetu wanawatrain kuwa loyal kwao. So ikitokea wamepata order wanamwita wakati wewe haupo wanasepa naye. Mimi nafikiri wangeweka darasa kila mtu anaenda na mbwa wake halafu unafundishwa wewe namna ya kumfunza mbwa wako! Hii ingesaidia kuweka siri kati ya mbwa na mmiliki wake. Otherwise its a good business.
 
vipi mkuu naweza pata rottweiler jike? Wakizaa naomba uni PM tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom