Ufugaji wa Mbwa kwa biashara

Mimi hata nsipofunga gate waje tu watakutana nao. Wako 5 wa kufa mtu. Hata mbwa wa jirani akisogea tu kesho yake msiba! Lazima waue. Wakiwa kazini hawana masihara hata kidogo. Nilileta Rottweiler toka Kenya alikuwa na 1 month nililipia 50,000kshs. Wacha usumbufu wa border!
Tatizo polisi wetu wanawatrain kuwa loyal kwao. So ikitokea wamepata order wanamwita wakati wewe haupo wanasepa naye. Mimi nafikiri wangeweka darasa kila mtu anaenda na mbwa wake halafu unafundishwa wewe namna ya kumfunza mbwa wako! Hii ingesaidia kuweka siri kati ya mbwa na mmiliki wake. Otherwise its a good business.

Mkuu wanaweza kumchukua hata kama hawajui?
 
Labda sijaelewa ila nimesema WALIMU WA MBWA HUFUNDISHA WAO WENYEWE NA SIO KUMFUNDISHA MMILIKI WA MBWA KUMFUNDISHA MBWA WAKE! WAKIPATA MTU ANAYEMTAKA MBWA NI RAHISI KUMTOROSHA MAANA ANAKUWA NA MAWASILIANO TAYARI KATI YAO. My concern here! Napendekeza kuwa MWENYE MBWA AFUNDISHWE KUMFUNZA MBWA WAKE ILI WA- CONNECT VIZURI. Nafikiri nimejaribu kukuelewesha ndugu.
 
Mkuu tasnia ya ufundishwaji wa mbwa ni field nyingine pia!mafunzo ya mbwa mmoja two weeks ni shs 400,000. ni zaidi ya university fees!hahaha
 
Jamaa mbwa wazuri wawili nitawapata wapi? Niko dar

Wa umri gani? Kama unataka wakubwa nenda kaulize pale Kurasini Polisi kwenye kituo cha Mbwa wa Polisi. Jamaa yangu mmoja pale Tabata anao wadogo wa kisasa. Nitamuuliza kama bado bei ni ile ile ya mwaka jana kisha nitaku-pm.
 
Ndugu [MENTION]Malila [/MENTION] asante. Je, unajua hao wa kurasini ni bei gani? Kabla sijaenda huko.
 
Mi nipo mbeya kwa siku mbili hizi... Natafuta sana German shepherd Wa miezi miwili. Alienae ani PM
 
Mimi pia natafuta pupies wawili either Germany sherphed or bulldog, niko dar. Kama unao kindly pm me...
 
Soko la mbwa lipo wapi?
Mimi natafuta mbwa ili wawe walinzi pale shamba, kuna watu kadhaa humu nao wanatafuta mbwa, tayari hili nalo ni soko, ukienda pale Victoria utaona vijana wamebeba mikononi na kuwanadi. Soko lipo sana, tatizo ni ubora wa bidhaa, hawa wa kienyeji hawalipi sana.
 
Ndugu [MENTION]Malila [/MENTION] asante. Je, unajua hao wa kurasini ni bei gani? Kabla sijaenda huko.
Sijapata mtu wa ukweli, wengi wanataka biashara kwa mlango wa nyuma, mimi nataka kufanya biashara ya haki,tena mchana kweupe. Kigamboni kuna jamaa anao, kaniahidi kwa laki mbili kila mtoto mmoja.
 
Nimepata Jibwa moja lina ukubwa kama wa Ndama na linamiezi tisa tu kuna muhindi mmoja amemshindwa cause alikuwa anawang'ata petty dogs wake nimemdaka faster ntampiga picha nimuweke hapa sijui jina lake nasubiri kajike kangu kakue nianze kuzalisha hii mbegu ni ya ukweli sana na ni mkali sana
 
ongeza majike mawili ili upate watoto wengi utuuzie na sisi majirani zako. Nasubiri picha ya huyo dog.
 
Mungu akipenda kwa watakao hitaji kwa ajili ya shughuli za kilimo kama vile kulinda shambani au kulinda mifugo nitatoa bure kwa wakulima wenzangu ila kwa watakao hitaji kwa ajili ya matumizi ya kulinda nyumbani nitauza
 
Nimepata Jibwa moja lina ukubwa kama wa Ndama na linamiezi tisa tu kuna muhindi mmoja amemshindwa cause alikuwa anawang'ata petty dogs wake nimemdaka faster ntampiga picha nimuweke hapa sijui jina lake nasubiri kajike kangu kakue nianze kuzalisha hii mbegu ni ya ukweli sana na ni mkali sana

Nimesikia story ya mbwa kama huyu from mhindi wa Masaki. Jitahidi upate jike mzuri pia, asiwe koko
 
Mimi natafuta mbwa ili wawe walinzi pale shamba, kuna watu kadhaa humu nao wanatafuta mbwa, tayari hili nalo ni soko, ukienda pale Victoria utaona vijana wamebeba mikononi na kuwanadi. Soko lipo sana, tatizo ni ubora wa bidhaa, hawa wa kienyeji hawalipi sana.

hivi hakuna makabila/mataifa yanayokula panya? Nataka nifanye utafiti wa soko la panya. Nahisi ni rahisi kuwafuga, imagine ukiwa na banda lako moja si wanatosha hata panya laki. Lol
 
Nimesikia story ya mbwa kama huyu from mhindi wa Masaki. Jitahidi upate jike mzuri pia, asiwe koko

Nina Kajike hapa ila mbegu yake sio kubwa sana hili limbwa ni noma aisee leo limekata Mnyororo watu hawatoki nje inabidi nijenge banda la faster hii minyororo ya kichina linakata
 
hivi hakuna makabila/mataifa yanayokula panya? Nataka nifanye utafiti wa soko la panya. Nahisi ni rahisi kuwafuga, imagine ukiwa na banda lako moja si wanatosha hata panya laki. Lol

Jamii za watu wa mashariki ya mbali na kusini mashariki mwa Asia, kule kinaliwa kila kitu chini ya jua. Hapa home kuna jamaa zetu wa samaki nchanga wanawalamba.
 
Sijapata mtu wa ukweli, wengi wanataka biashara kwa mlango wa nyuma, mimi nataka kufanya biashara ya haki,tena mchana kweupe. Kigamboni kuna jamaa anao, kaniahidi kwa laki mbili kila mtoto mmoja.

Poa mkuu,

Nistue ukifanikiwa nami nimechukue moja.
 
Back
Top Bottom