Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,848
- 15,252
Shaabaaniii kuja hapa, peleka hii kule 😂😂Niliamua kujisalimisha kwa Kanjibai tu ili nijipange upya.
Shaabaaniii kuja hapa, peleka hii kule 😂😂Niliamua kujisalimisha kwa Kanjibai tu ili nijipange upya.
Vipi mrejesho unaendelea na ufugaji bado?Kaka nataka nianze na kuku 1,000. Actually I want that to be my reliable busines yaaani niachane na hizi ajira tunazo danganyana nazo.
Thanks
Unaweza kuingiza kuku ila fanya yafuatayoKipindi hiki cha CORONA soko la kuku wa nyama limekaaje? Nataka niingize mzigo bandandani mnanishaulije wana JF.
1. Kuroiler anaweza pandwa na jogoo akatarubishwaHabar wakuu Hivi hawa kuku aina ya Kuroiler, jike anaweza kupandwa na jogoo wakienyeji na akataga mayai?
pia vp kuhusu jogoo wa kuroler anaweza kumpanda mtetea wakienyeji na akataga AU NILAZIMA WAPANDANE WENYEWE KWA WENYEWE?
nikaz xax kumbe maan nilikua nazan utan vile
Fuga nguruwe wewee au fungua maduka manzese na Ubungo External kama upo Darisalama.
Kuku kichefuchefu!! Wakipata ugonjwa usiku, mpaka ukiamka huna hata wa ushahidi.
Hi, vipi hii project ulifanikiwa kuanzisha..kama ndio mambo yalikuwaje? Uzoefu wako tafadhaliNa wewe me mbona sikuwa na plan za kufuga kuku ila sasa ndo nimeanza kujenga banda. Utapata update
Hela nyingi inaenda kwenye chakula.hivi akuna namna bora ya kupunguza gharama za chakula cha kuku?
Shukrani sana mkuu HDMI
Nina swali jingine ..
Je hawa Kroiler unaweza kuwafuga kienyeji yn ukawaachia tu ndani ya fensi nawakachakua chakua chakula nakudonoa donoa majani wenyewe au niwandani kwandani tu kama hawa broiler