Inapatikana wapi hii mkuu?Backbone chicken feeds
Inapatikana wapi hii mkuu?Backbone chicken feeds
Hakuna shida, anza tuNahitaj kuanza kufuga kwa sasa
Hao kuku wa kisasa au wa kienyeji?Mm.nimeweza...kuku wangu nawapa.chakula.cha silverland mwezi 1 tuu then natengeneza changu na wanakua vuzuri sana
Kuku mkubwa kama mbuzi!Huyo kuku amenivutia. Ni aina gani
Sio kweli, uliza mfugapi yeyote wa Dar, pwani, morogoro, zanzibar, tanga. Utapata majibu. Kampuni zinazofanya vizuri kwa sasa katika hiyo mikoa kwa mpangilio
1. Backbone
2. Hill feed
3. Falcon.
4. Irvine’s (amadori ya zamani)
Silverland ni kuwa alijitanua sana mikoani lakini chakula chake sasa hivi kimekutana na ushindani mkubwa, hii mikoa hauzi kitu. Silverland nawafaham hadi sales Manager wao ni kijana huwa tunapeana changamoto za haya mambo
Hiki chakula ni kwaajiri ya kuku wa kizungu tu ay hata wa kienyeji mkuu?Backbone chicken feeds
Mkuu aina hii ya chakula inafaa pia kwa kuku wa kienyeji?Sio kweli, uliza mfugapi yeyote wa Dar, pwani, morogoro, zanzibar, tanga. Utapata majibu. Kampuni zinazofanya vizuri kwa sasa katika hiyo mikoa kwa mpangilio
1. Backbone
2. Hill feed
3. Falcon.
4. Irvine’s (amadori ya zamani)
Silverland ni kuwa alijitanua sana mikoani lakini chakula chake sasa hivi kimekutana na ushindani mkubwa, hii mikoa hauzi kitu. Silverland nawafaham hadi sales Manager wao ni kijana huwa tunapeana changamoto za haya mambo
Hapana..mpendwaNawe ni mfugaji mama wawili?
Nataka niingie kuanzia mwezi ujao na mabanda nimeshatayarisha mkuu. Ndiomana nafuatilia sana nisije nikakosea especially kwenye swala la chakula na chanjoUmefafanua vizuri sana, wengi wanaishia kukata tamaa wakiingia katika ufugaji huo na kukutana na tofauti na matarajio
Unataka ufuge aina gani ya kuku??Nataka niingie kuanzia mwezi ujao na mabanda nimeshatayarisha mkuu. Ndiomana nafuatilia sana nisije nikakosea especially kwenye swala la chakula na chanjo
Hivyo vyakula vinafaa kwa kuku aina yoyote, kwa kuwa unaanza na kuku wa kienyeji sikushauri sana utumie hivyo vyakula vya viwandani kwa asilimia mia. Ni bora ukaandaa chakula chako mwenyewe kama upo mikoa ambayo ingredients za kutengeneza vyakula zinapatikana......Mkuu aina hii ya chakula inafaa pia kwa kuku wa kienyeji?
Binafsi ndio naanza mtaji mdogo tu wa matetea 15 na jogoo moja, mpaka sasa nimeshajenga mabanda na sehemu zake za kutagia + mabanda ya kukuzia vifaranga. Je inafaa kuwaanzishia aina moja wapo ya hivyo vyakula?
Au kama una ushauri wa aina yeyote naomba tafadhari
Silverlands ana chakula bora na ubora wake ulikuja kwa sababu hatumii dagaa badala yake anatumia soya. Lakini nadhani walijisahau hivi sasa chakula chao sio kizuri kabisa kama zamani. Hivi sasa kwa sisi wafugaji wa muda mrefu tumehamia kwa vyakula vya HILL company.Kizuri kinajiuza.Hakuna muuzaji wa chakula aliweza kusindika kumzidi silver land.Wengine huuza vumbi ukalishe kuku.Kama we we ni mfugaji na hukipendi chakula cha sulverland basi namashaka na wewe. That food is one of the best invention in poultry industry.Kama unacho mbadala nijuze, mi napenda vitu bora has a ktk mifugo. Hizo formula za sua na mitandaoni ninazo nyingi sana.
Mkuu watu wapo maabara kuja na vitu bora sio bla bla za wabongo.
Kama una formula bora tengeza chakula uza watu watapima ubora sio maneno.
Silverlands nadhani walibweteka bila kufuatilia customers wao kama wako satisfied au vipi.........nakumbuka kuna kipindi ilibidi turudishe chakula kiwandani kwao, maana tunalisha kuku wakashusha uzalishaji wa mayai.Inawezekana mkuu, Nina miaka 2 nje ya industry ntaporudi mwakani ntajaribu hicho chakula.Ila kama kweli hivyo vyakula ni bora basi vingesambaa na mikoani.
Wa kienyeji mkuuUnataka ufuge aina gani ya kuku??
Okay kila la heri mkuuWa kienyeji mkuu
Asante sana mkuu nitakuwa nakushirikisha kila hatua.Okay kila la heri mkuu
Wastaarabu nipo aisee sijatoka.Asante sana mkuu nitakuwa nakushirikisha kila hatua.
Alafu wastaarabu mbona huonekani au ulishatoka?