Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
Kizuri kinajiuza.Hakuna muuzaji wa chakula aliweza kusindika kumzidi silver land.Wengine huuza vumbi ukalishe kuku.Kama we we ni mfugaji na hukipendi chakula cha sulverland basi namashaka na wewe. That food is one of the best invention in poultry industry.Kama unacho mbadala nijuze, mi napenda vitu bora has a ktk mifugo. Hizo formula za sua na mitandaoni ninazo nyingi sana.Hivi kwa hizi akili zako hata kama utapewa formula ambayo ni bora kuliko silva land utaamini?Kwani hawa jamaa wametoa mbinguni?Wandugu tuache fikra mbovu kama hizi tunajichelewesha.
Ulevi wa brand name ni mbaya sana,kwa wewe kama mtu akichukua kiroba cha silver land akaweka humo chakula cha falcon utaendelea tu kusifia silver land kumbe kilichomondani sicho.
Jifunze kwa kuuliza wengine itakusaidia sana kwenye ufugaji kuliko kuendelea kukariri.
Mkuu watu wapo maabara kuja na vitu bora sio bla bla za wabongo.
Kama una formula bora tengeza chakula uza watu watapima ubora sio maneno.