Ufoo saro:sitaki tena mapenzi

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,389
Wakati watanzania wengi wakisubiri taarifa kutoka kwa ufoo saro juu ya mkasa ulioikumba familia yake, na kumpoteza my number one wake pamoja na bi mdanga wake bi anastazia saro,bi shosti huyo kaapa kutozungumzia chochote kuhusu tukio hilo wala ugomvi wao na the late husband wake na kusema hiyo itabaki kuwa siri ya maisha yake hadi kifo kitakapomkuta,super star uyo ambaye nyota yake imewaka ghafla alienda mbali na kusema kuwa hataki kusikia chochote kuhusu mapenzi kwa sasa na hatak kujiingiza uko kabisaa.
 
Labda akafunge ndoa za lazima kwa Getrude Rwakatare kama yule bibi wa miaka 60. Roho ya paka.
 
Kuna text nimetumiwa whatsapp kama Ni kweli huyu bidada fada hafwai hata chembe, mh....
 
unaitaj uwe na moyo wa simba kumtaka huyu dada kimapenzi!!! mushi tunakukumbuka sana ingawa ulikosea unge make sure tu na yakichwa moja ndo na wewe ungejimaliza ingekua fundisho!!!
 
Hayataki mapenzi kwani alikua nayo? Hata atangaze kutafuta mpenzi kama tangazo la kazi na mshahara mnono, sidhani kama atapata mtu
 
kuolewa hata olewa kwan hakuna wa kukubali kwenda kufa, ila wa kumpenyezea wapo. na watapenyeza sana tu
 
Tatizo Ufoo hajasababisha janga kwa sababu ya mapenzi,Tukio zima lilikua limegubikwa na utapeli wake ,Labda aache utapeli ndo ata survive,
 
Ingekuwa sahihi kama angesema sitaki tena utapeli au dhuluma kwa sababu ndio tabia yake lakini mapenzi hakuwa nayo wala hayajui atayakataaje mwehu nini huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom