Sikia leo MBOWE fisadiSijawahi sikia kuwa mbowe fïsadi
Sio la kusema wala niniHata wewe ni FISADI. period!!
Si ni suala la kusema tu, au??
Unapanic sanaInauma sana kuona watanzania mbumbumbu kama nyie na asilimia nyingi ndivyo mlivyo. Yani ukiulizawa upeleke mahkamani ushahidi kuwa lowasa ni fisadi utapeleka icho ki video clip kuwa ndyo ushahidi?
Hadi nakuonea huruma jinsi ulivyo zoba wa kufikiri. Try to use ur brain my friend.
Kama unajitoa fahamu ili kujipendekeza CCM itz oky endelea unaweza pata hta U DC kma Polepole.
Ndoto hizoHata Kabwe Zitto ni fisadi. Hivyo ndivyo aliweza kuwaweka mjini. Alifisadi NSSF na TANAPA kupitia Leka Dutigite/Gombe Advisors.
Hivi bado ana magari ya Nimrod Mkono? Na lile Hammer Jeupe lenye namba za nje bado lipo?
Naona hali yake siku hizi ngumu, kuwa ACT hailipi kama ilivyokuwa Chadema hadi hela ya hoteli double tree imemshinda na ametokomea na deni tokea mwaka Jana.
Bora ule ulichokitapika kuliko kula vyenye sumu tena ukiwa unajua kabisa.Tahila NI ninyi mnao kula mlicho kitapika
Chombo gani kimethibitisha haya uyazungumzayo? Walau kuhusu Lowassa tuna hansad za bunge zikithibitisha uhusika wake katika kuifisidi nji hii, maazimio yapo.Hata Kabwe Zitto ni fisadi. Hivyo ndivyo aliweza kuwaweka mjini. Alifisadi NSSF na TANAPA kupitia Leka Dutigite/Gombe Advisors.
Hivi bado ana magari ya Nimrod Mkono? Na lile Hammer Jeupe lenye namba za nje bado lipo?
Naona hali yake siku hizi ngumu, kuwa ACT hailipi kama ilivyokuwa Chadema hadi hela ya hoteli double tree imemshinda na ametokomea na deni tokea mwaka Jana.
matokeo hujayaona ya lowasa kuwa mgombea? au unajitia upofu ?
Hansard ya Bunge ilisema Lowassa anahusika na Richmond? Kasome vizuri.Chombo gani kimethibitisha haya uyazungumzayo? Walau kuhusu Lowassa tuna hansad za bunge zikithibitisha uhusika wake katika kuifisidi nji hii, maazimio yapo.
Badala ya kujitetea Lowasa akakasirika na kujiuzulu kwa hasira. Vizazi na vizazi vitaendelea kujua hivyo......
Kwani ile kamati iliyoundwa na bunge ilifanya kazi gani?Hansard ya Bunge ilisema Lowassa anahusika na Richmond? Kasome vizuri.
mmeshindwa ya Lugumi mnatafuta pa kujificha? Ni aibu tulijuwa majipu ni kwa wadogo wakubwa hayaguswi.CCM ni ile ile,ha ha ha
wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao
wakafanye kazi
as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
Umezungumzia Hansard, kaisome vizuri juu ya suala husika kisha uturudie na majibu.Kwani ile kamati iliyoundwa na bunge ilifanya kazi gani?
Usikwepe, Hansard zilizopo ni maazimio ya bunge juu ya matumizi mabaya ya waziri mkuu na ofisi yake kuliingiza taifa katika hasara katika mkataba tata wa Richmond...... Sote tunajua kilichotokea.......uwaziri mkuu ukatumbuka pwaaaaaaa.Umezungumzia Hansard, kaisome vizuri juu ya suala husika kisha uturudie na majibu.
Lugumi anamjengea Bwana mkubwa hekalu Masaki, tusitarajie haki kutendeka.mmeshindwa ya Lugumi mnatafuta pa kujificha? Ni aibu tulijuwa majipu ni kwa wadogo wakubwa hayaguswi.CCM ni ile ile,
Kusema ukweli kabisa mpaka leo bado nashindwa....kuwa wapinzani walitumia gani cha kufikiria hadi wakamuona kuwa Lowasa anafaa kugombea uraisi kupitia umoja ambao hapo mwanzo alikuwa akiupinga kwa nguvu zake zote...........
Mbowe alipata wapi ujasiri wa kumpendekeza LOWASA kuwa mgombea wa UKAWA hali ya kuwa anajua kuwa ni fisadi na badala yake anatuambia kuwa mwenye ushahidi atangulie mahakamani......??
SIDHANI KAMA UKAWA KUPITIA CHADEMA WALIKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA KIAKILI WAKATI WANAYAPENDEKEZA HAYO.......
Unakimbilia hoja, unashindwa kuitetea. Umetuletea hoja ya Hansard, tuwekee hapa neno kwa neno, inasema Lowassa anahusikaje na Richmond?Usikwepe, Hansard zilizopo ni maazimio ya bunge juu ya matumizi mabaya ya waziri mkuu na ofisi yake kuliingiza taifa katika hasara katika mkataba tata wa Richmond...... Sote tunajua kilichotokea.......uwaziri mkuu ukatumbuka pwaaaaaaa.
Kusema ukweli kabisa mpaka leo bado nashindwa....kuwa wapinzani walitumia gani cha kufikiria hadi wakamuona kuwa Lowasa anafaa kugombea uraisi kupitia umoja ambao hapo mwanzo alikuwa akiupinga kwa nguvu zake zote...........
Mbowe alipata wapi ujasiri wa kumpendekeza LOWASA kuwa mgombea wa UKAWA hali ya kuwa anajua kuwa ni fisadi na badala yake anatuambia kuwa mwenye ushahidi atangulie mahakamani......??
SIDHANI KAMA UKAWA KUPITIA CHADEMA WALIKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA KIAKILI WAKATI WANAYAPENDEKEZA HAYO.......
Nimeshindwa vipi? Kwani Lowassa alijiuzulu tu bila sababu? Sababu ni Richmond...... Maazimio ya bunge yalimtaka aachie nafasi.....usichoelewa nini?Unakimbilia hoja, unashindwa kuitetea. Umetuletea hoja ya Hansard, tuwekee hapa neno kwa neno, inasema Lowassa anahusikaje na Richmond?
Umetueleza kuhusu Hansard ya Bunge juu ya Richmond, badala ya kutuletea neno kwa neno jinsi Lowassa alivyohusishwa, unatumia maneno ya kujifikirisha. Ulikuwa na haja gani ya kutaja Hansard wakati haujui ilisema nini exactly?Nimeshindwa vipi? Kwani Lowassa alijiuzulu tu bila sababu? Sababu ni Richmond...... Maazimio ya bunge yalimtaka aachie nafasi.....usichoelewa nini?