Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

Dah CCM wamepindua meza,wanamtumia Lowassa kama fimbo ya kuwachapia wapinzani, bora Dr Slaa amejiweka kando na hii fedheha Mbowe hivi ulifikiria nini kumfanya Lowassa kuwa mgombea wa CHADEMA? Ona sasa mmebanwa kwenye angle,hamshambulii tena kama tulivyowazowea,mmegeuka kuwa watu wa kujihami dhidi ya mashambulizi ya CCM.
Tatizo ni kuwa hamjengi hoja, mmekalia mipasho na lugha ya matusi.
 
Hali hiyo ilitokea jana bungeni mjini hapa, baada ya baadhi ya wabunge wa CCM kuwapiga vijembe wenzao wanaotoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutokana na kumteua kuwa mgombea urais na kumuunga mkono katika Uuhaguzi mkuu uliopita.
Hata hivyo, kutajwa kwa Lowassa ndani ya bunge na kuibua mjadala, nusura kusababishe vurugu hivyo kumlazimu spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha kikao mpaka jana jioni.

Vienne hivyo viliibuliwa na Mbunge wa Madaba (CCM), Joseph Mhagama, alipokuwa akichangia Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa mwaka 2015/16 hadi 2020/21.
Mbunge huyo alisema uchumi wa Tanzania utaimarika ikiwa serikali itawekeza kikamilifu katika viwanda, lakini akajikuta anatoka kwenye hoja na kuanza kuwashambulia wapinzani akidai wanapinga utaratibu wa Serikali ya Awamu ya Tano wa kutumbua majipu.

Mhagama alisema anawashangaa wapinzani kwa kuwa vigeugeu, akidai wanawaunga mkono mafisadi ilhali kipindi cha nyuma sera kuu ya upinzani ilikuwa kupambana na ufisadi.

Wakati akiendelea kuchangia, Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, alisimama na kuomba kutoa taarifa ambayo alieleza kuwa upinzani haupingi utumbuaji majipu.

Heche alisema upinzani unaunga mkopo utaratibu huo na kufafanua kuwa hata sababu za kutumbuliwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe, ziliwahi kuelezwa bungeni na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Hezekiah Wenje.
Heche alikwenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa majipu yanayotumbuliwa yalitengenezwa na CCM na kwamba Mhagama ni sehemu ya majipu hayo.

Baada ya taarifa hiyo, Mhagama alikataa kuipokea baada ya kuuulizwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, akisisitiza kuwa hawezi kupokea taarifa ya wapinzani ambao walileta taarifa bungeni kuwa Lowassa ni fisadi, lakini wakampitisha kugombea urais.
Siwezi kuipokea taarifa hiyo kwa sababu wapinzani hawa hawa walioleta taarifa hapa bungeni na kutuaminisha Lowassa ni fisadi, mwaka jana walimkumbatia na kumpa nafasi ya kugombea urais,alisema Mhagama, huku wabunge wa CCM wakishangilia kwa kupiga makofi.

Baada ya kuona hali inaelekea kuchafuka bungeni, Spika (Ndugai) aliasitisha kikao hicho cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 hadi saa 11:00 jioni.
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Busega (CCM), Dk. Raphael Chegeni, naye aliwapiga vijembe wapinzani wakati akichangia mpango huo akieleza kufurahishwa na uamuzi wa kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge hilo. Chegeni alidai kuwa wapinzani sasa hawana ujanja kutokana na kuzuiwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge. "Hata vijembe hapa bungeni sasa vimepungua kwa sababu hakuna anayeona kule. Tujengane hapa kwa hoja na si mbwembwe ambazo hazina faida kwa wananchi," alisema.

Source: Jicho1 Blog
Siasa ya taifa letu ni ya vijembe ili hari maisha ya watanzania ni tete.tunahitaji viongozi wenye maono ya kubadili hali yetu ya maisha.wandugu mi mgeni kundini naomba munipokee.
 
Mi nashangaa watanzania wanapoteza muda na hizi porojo za siasa za kujipendekeza na unafiki. Kila siku lowasa fisadi lowasa fisadi. Sooo what? Mpelekeni mahkamani sasa mhukumu afungwe na malizake mtaifishe. Mimi sitoipa CCM kura yangu milele kwa sababu inamjua fisadi ni nani lakini hawamfanyi chochote ila bungeni na kwenye majukwaa ya kisiasa ndyo mnaaza kubwabwaja. Yan mnapiga kelele kama kwamba nchi haina mahkama au sheria dhidi ya ufisadi. Hya sasa huyu magufuli si anajifanya toboatoboa basi mtoboe na lowasa sasa maana pind cha uchaguzi ulikuwa miongoni mwa waliosema lowasa fisadi na uliomba upewe mamlaka umshugulikie. Hya sasa leo mamlaka unayo upooo kimya unasubir uchaguz ujao tena ndyo mwendeleze siasa za porojo maa mmeisha zoea watz ni mazoba na mtaendelea kuwafanya mazoba na mafala sikuzote.
 
ha ha ha

wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao

wakafanye kazi

as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
Tupe uhakika wa hao unaowaita mafisadi
 
Hali hiyo ilitokea jana bungeni mjini hapa, baada ya baadhi ya wabunge wa CCM kuwapiga vijembe wenzao wanaotoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutokana na kumteua kuwa mgombea urais na kumuunga mkono katika Uuhaguzi mkuu uliopita.
Hata hivyo, kutajwa kwa Lowassa ndani ya bunge na kuibua mjadala, nusura kusababishe vurugu hivyo kumlazimu spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha kikao mpaka jana jioni.

Vienne hivyo viliibuliwa na Mbunge wa Madaba (CCM), Joseph Mhagama, alipokuwa akichangia Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa mwaka 2015/16 hadi 2020/21.
Mbunge huyo alisema uchumi wa Tanzania utaimarika ikiwa serikali itawekeza kikamilifu katika viwanda, lakini akajikuta anatoka kwenye hoja na kuanza kuwashambulia wapinzani akidai wanapinga utaratibu wa Serikali ya Awamu ya Tano wa kutumbua majipu.

Mhagama alisema anawashangaa wapinzani kwa kuwa vigeugeu, akidai wanawaunga mkono mafisadi ilhali kipindi cha nyuma sera kuu ya upinzani ilikuwa kupambana na ufisadi.

Wakati akiendelea kuchangia, Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, alisimama na kuomba kutoa taarifa ambayo alieleza kuwa upinzani haupingi utumbuaji majipu.

Heche alisema upinzani unaunga mkopo utaratibu huo na kufafanua kuwa hata sababu za kutumbuliwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe, ziliwahi kuelezwa bungeni na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Hezekiah Wenje.
Heche alikwenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa majipu yanayotumbuliwa yalitengenezwa na CCM na kwamba Mhagama ni sehemu ya majipu hayo.

Baada ya taarifa hiyo, Mhagama alikataa kuipokea baada ya kuuulizwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, akisisitiza kuwa hawezi kupokea taarifa ya wapinzani ambao walileta taarifa bungeni kuwa Lowassa ni fisadi, lakini wakampitisha kugombea urais.
Siwezi kuipokea taarifa hiyo kwa sababu wapinzani hawa hawa walioleta taarifa hapa bungeni na kutuaminisha Lowassa ni fisadi, mwaka jana walimkumbatia na kumpa nafasi ya kugombea urais,alisema Mhagama, huku wabunge wa CCM wakishangilia kwa kupiga makofi.

Baada ya kuona hali inaelekea kuchafuka bungeni, Spika (Ndugai) aliasitisha kikao hicho cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 hadi saa 11:00 jioni.
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Busega (CCM), Dk. Raphael Chegeni, naye aliwapiga vijembe wapinzani wakati akichangia mpango huo akieleza kufurahishwa na uamuzi wa kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge hilo. Chegeni alidai kuwa wapinzani sasa hawana ujanja kutokana na kuzuiwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge. "Hata vijembe hapa bungeni sasa vimepungua kwa sababu hakuna anayeona kule. Tujengane hapa kwa hoja na si mbwembwe ambazo hazina faida kwa wananchi," alisema.

Source: Jicho1 Blog
Hawa wabunge wa ccmm ndio wenye serekali kwanini wasimpeleke mahakamani?itakuwa ngumu sana nchi hii kuendelea kwani viongozi wa cccmm hawakupaswa kuwa ktk hizi nafasi, kila kitu kiko mikononi kwao lakini wanakuja kulalamika kwa wananchi, tuwasaidie je hawa cccmm?takukuru ni chombo chao bado kinalalamikia rushwa zidi ya mahakama ambayo ni chombo chao pia, kweli anayewaunga mkono na kuwashabikia ni wale waiodumaa mpaka akili.
 
Tatizo lako linajulikana sio la kwako tu bali la kifamilia na ukoo kwani vichwa vyenu sio wazima na wengi wenu mna ma file hosp. za wendawazimu. na ukiendelea kutaja utajikuta unataja jina lako kwa sababu hizo hizo za kiwenda wazimu.
Unazungumzia watu wangapi!?
 
Lazima iume unajua

yaani kukuambia Lowassa ni fisadi na ulikuwa unapiga deki barabarani na kuzungusha mikono .....baadae akili zilipokurudia na ukagundua uliingizwa shimoni lazima iume

pole mkuu, shika bandeji hii hapa, badnika juu ya nilipokuchoma sindano

Lowassa ni fisadi
Ndio hivyo mkuu
Wasikutishe Lowassa ni fisadi hata wao wanalijua hilo
Tatizo ni siasa zao za kibendera
 
Hali hiyo ilitokea jana bungeni mjini hapa, baada ya baadhi ya wabunge wa CCM kuwapiga vijembe wenzao wanaotoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutokana na kumteua kuwa mgombea urais na kumuunga mkono katika Uuhaguzi mkuu uliopita.
Hata hivyo, kutajwa kwa Lowassa ndani ya bunge na kuibua mjadala, nusura kusababishe vurugu hivyo kumlazimu spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha kikao mpaka jana jioni.

Vienne hivyo viliibuliwa na Mbunge wa Madaba (CCM), Joseph Mhagama, alipokuwa akichangia Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa mwaka 2015/16 hadi 2020/21.
Mbunge huyo alisema uchumi wa Tanzania utaimarika ikiwa serikali itawekeza kikamilifu katika viwanda, lakini akajikuta anatoka kwenye hoja na kuanza kuwashambulia wapinzani akidai wanapinga utaratibu wa Serikali ya Awamu ya Tano wa kutumbua majipu.

Mhagama alisema anawashangaa wapinzani kwa kuwa vigeugeu, akidai wanawaunga mkono mafisadi ilhali kipindi cha nyuma sera kuu ya upinzani ilikuwa kupambana na ufisadi.

Wakati akiendelea kuchangia, Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, alisimama na kuomba kutoa taarifa ambayo alieleza kuwa upinzani haupingi utumbuaji majipu.

Heche alisema upinzani unaunga mkopo utaratibu huo na kufafanua kuwa hata sababu za kutumbuliwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe, ziliwahi kuelezwa bungeni na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Hezekiah Wenje.
Heche alikwenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa majipu yanayotumbuliwa yalitengenezwa na CCM na kwamba Mhagama ni sehemu ya majipu hayo.

Baada ya taarifa hiyo, Mhagama alikataa kuipokea baada ya kuuulizwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, akisisitiza kuwa hawezi kupokea taarifa ya wapinzani ambao walileta taarifa bungeni kuwa Lowassa ni fisadi, lakini wakampitisha kugombea urais.
Siwezi kuipokea taarifa hiyo kwa sababu wapinzani hawa hawa walioleta taarifa hapa bungeni na kutuaminisha Lowassa ni fisadi, mwaka jana walimkumbatia na kumpa nafasi ya kugombea urais,alisema Mhagama, huku wabunge wa CCM wakishangilia kwa kupiga makofi.

Baada ya kuona hali inaelekea kuchafuka bungeni, Spika (Ndugai) aliasitisha kikao hicho cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 hadi saa 11:00 jioni.
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Busega (CCM), Dk. Raphael Chegeni, naye aliwapiga vijembe wapinzani wakati akichangia mpango huo akieleza kufurahishwa na uamuzi wa kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge hilo. Chegeni alidai kuwa wapinzani sasa hawana ujanja kutokana na kuzuiwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge. "Hata vijembe hapa bungeni sasa vimepungua kwa sababu hakuna anayeona kule. Tujengane hapa kwa hoja na si mbwembwe ambazo hazina faida kwa wananchi," alisema.

Source: Jicho1 Blog
Hebu acheni kutuletea habari kutoka bungeni. Sisi watanzania hatuzihitaji kama wizara ilivyo amua
 
ha ha ha! div 5 mna kazi sana, uko kila mahali kuanzia 2008!!

Nyerere alimkataa 1995!!! wewe ukamkubali 2015!! hata brain yako iko nyuma 20 yrs kuwaza tu
Never Lowassa kuingia IKULU ya Tanzania
Kama Arusha kuna IKULU aende
 
Nini kinazuia fisadi asichukuliwe hatua za kisheria?Hebu acheni porojo zenu!
Kama kuna watu walileweshwa na pesa za Lowassa ni wewe, tangu yuko CCM uko naye , leo yuko CHADEMA uko naye wenzako ACT WAZALENDO ni maadui wao, Lowassa akihamia huko utakwenda naye!
 
Kusema ukweli kabisa mpaka leo bado nashindwa....kuwa wapinzani walitumia gani cha kufikiria hadi wakamuona kuwa Lowasa anafaa kugombea uraisi kupitia umoja ambao hapo mwanzo alikuwa akiupinga kwa nguvu zake zote...........

Mbowe alipata wapi ujasiri wa kumpendekeza LOWASA kuwa mgombea wa UKAWA hali ya kuwa anajua kuwa ni fisadi na badala yake anatuambia kuwa mwenye ushahidi atangulie mahakamani......??

SIDHANI KAMA UKAWA KUPITIA CHADEMA WALIKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA KIAKILI WAKATI WANAYAPENDEKEZA HAYO.......
Hahaha Jibu ni PESA
Acha inayo bwana
CDM hakuna wana siasa wakweli pale kuna wasaka tonge
 
Chadema walitoa ushahidi upi? Na taja nani aliutoa?
Nikutajie wewe kama nani
Nakuambia tu Lowassa fisadi
Pia Niheshima kwa mungu kumkataa Lowassa

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
 
Mimi namuunga mkono mh. Raisi kwa hatua anazochukua kudhibiti wizi na ubadhirifu wa mali ya umma. Endelea JPM, ila ambacho naanza kuamini kwamba EL hajahusika na ufisadi uliopo nchini inaonekana baada ya EL kuondoka madarakani ndipo ufisadi mkubwa umefanyika
Ingawa hakuwa madarakani, bado alikuwa na mkono kwenye ufisadi uliokuwa unafanyika, ndiyo maana hata yeye mwenyewe alishawahi kulalamika kuwa wanaotumbuliwa ni washirika wake.
 
Back
Top Bottom