eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Hakuna wabunge wapuuzi kama wa chama cha mapinduzi
.
Matunda ya lowasa halionekani au LA?maana siasa hazina adui wala rafiki wa kudumu
Cc TCRA&POLISIha ha ha
wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao
wakafanye kazi
as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
Mkuu jaribuni kuwa mnastahimiliana kutofautiana kifikra na kimatazamo siyo kigezo cha kutoleana maneno yanayokwenda kinyume na maadili yetu ya kitanzania.Sie huku twachukiana wao waheshimiwa wala na kunywa pamoja.Tatizo lako linajulikana sio la kwako tu bali la kifamilia na ukoo kwani vichwa vyenu sio wazima na wengi wenu mna ma file hosp. za wendawazimu. na ukiendelea kutaja utajikuta unataja jina lako kwa sababu hizo hizo za kiwenda wazimu.
Unaishi kwa picha?Mimi ni mkulima huku Namtumbo, ajira yangu katika CCM ni uanachama wangu, CCM ni chama pekee chenye alama ya kazi yangu "jembe", nakihurumia sana kile chama cha vidole viwili, nahisi wanachama wake wameishia kushikwa vidole na kufuata.
Naishi kwa falsafa, nyundo na jembe ni alama kubwa sana kama ilivyokuwa muhimu sana kuzungusha mikono kwa wale jamaa wakiamini mabadiriko yanakuja kwa kuzungusha mikono.Unaishi kwa picha?
Zitoha ha ha
wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao
wakafanye kazi
as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
Do u have proof au unaropoka tu kama wenzio?ha ha ha
wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao
wakafanye kazi
as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
Do u have proof au unaropoka tu kama wenzio?
Ufisadi wa Lowassa ni upi? Mbona vyombo vya dola havichukui hatua dhidi yake?Upinzani hata ukija na hoja nzuri kiasi gani dhidi ya ufisadi wabunge wa CCM wataipangua kirahisi sana kwa kumtaja Lowassa. Kitendo cha kumchukua fisadi na kumfanya mgombea urais umekivuruga sana chama.
Kwahiyo nawewe leo umebadili gia angani unatetea mafisadi?Chama cha mapinduzi wapuuzi sana, yaani hiki chama nakichukia sana
....bila kusahau vijana wa IT walioingizwa mjini kutoka Nigeria, Kenya na Korea wakisaidiwa na wenyejiwao kina yeriko??Kwa nini msishangae jinsi tume ya uchaguzi chini ya Lubuva waliyoyatenda wakati wa kujumlisha na kutangaza matokeo na mfano hai ni kwenye Jimbo la january makamba ambako waliopiga kura kumchagua Rais walikuwa mara 2 zaidi ya waliopiga kura kuchagua mbunge,na vipi kuhusu yale magunia ya kura feki yaliyokuwa yametapakaa nchi nzima yenye kura za Magufuli yalikuwa ya nini kama UKAWA walikuwa wamekosea kumteua Lowasa kugombea Urais kupitia umoja huo?