Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

Leo mkuu!!
Wakati ule mnasema Lowasa fisadi CCM walielewa kweli lowasa fisadi,leo CCM wanasema Lowasa fisadi,mnakunja ngumi!!
.
Mimi sitetei upande wowote na kazi yangu aniruhusu kufanya hivyo au kuonyesha mahaba hadharani hapa ni jf kila mtu anababwaja hila unaweza jisahau ukiwa facebook n.k au hata uraiani ukadakwa na kuombwa ushahidi changamoto ni pale utakoposema nilisikia unambiwa tupe ushahidi kama hauna unajikuta segerea bila ndoo tena bora segerea upande wa ke kuliko me maana ukienda me basi tena.Unapobwabwaja chagua maneno vizuri yawanasiasa wachie wanasiasa wanahata wanasheria wakuwatetea.
 
Chama cha mapinduzi wapuuzi sana, yaani hiki chama nakichukia sana
Hahahahaahha
Na bado utakichukia, CCM ina wenyewe that's why upo chini yao kwa miaka mingine 5 na usipoangalia hadi miaka 50 ipite. Vumilia mkuu - CCM ni chama cha ukombozi wala si cha kilofa.
 
Dah CCM wamepindua meza,wanamtumia Lowassa kama fimbo ya kuwachapia wapinzani, bora Dr Slaa amejiweka kando na hii fedheha Mbowe hivi ulifikiria nini kumfanya Lowassa kuwa mgombea wa CHADEMA? Ona sasa mmebanwa kwenye angle,hamshambulii tena kama tulivyowazowea,mmegeuka kuwa watu wa kujihami dhidi ya mashambulizi ya CCM.
Upepo utapita
 
Hahahahaahha
Na bado utakichukia, CCM ina wenyewe that's why upo chini yao kwa miaka mingine 5 na usipoangalia hadi miaka 50 ipite. Vumilia mkuu - CCM ni chama cha ukombozi wala si cha kilofa.
Nkuu natambua vema km CCM INA wenyewe na mmoja Wa viongozi alishawahi kusema hilo, yote namuachia Mungu tu
 
Chama cha mapinduzi wapuuzi sana, yaani hiki chama nakichukia sana
Kwa sababu wanakumbushia Ufisadi wa Lowassa? Kwanini usiwachukie CHADEMA walioutangaza UFISADI wake kwa miaka 3, baadaye wakamsimamisha kugombea urais?
 
Kusema ukweli kabisa mpaka leo bado nashindwa....kuwa wapinzani walitumia gani cha kufikiria hadi wakamuona kuwa Lowasa anafaa kugombea uraisi kupitia umoja ambao hapo mwanzo alikuwa akiupinga kwa nguvu zake zote...........

Mbowe alipata wapi ujasiri wa kumpendekeza LOWASA kuwa mgombea wa UKAWA hali ya kuwa anajua kuwa ni fisadi na badala yake anatuambia kuwa mwenye ushahidi atangulie mahakamani......??

SIDHANI KAMA UKAWA KUPITIA CHADEMA WALIKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA KIAKILI WAKATI WANAYAPENDEKEZA HAYO.......

Ni kosa moja kubwa sana la kiufundi ambalo upinzani Tanzania walilifanya, japo hawawezi kukiri hadharani.

Ila limeumiza sana upinzani Tanzania.
 
Hahahahaahha
Na bado utakichukia, CCM ina wenyewe that's why upo chini yao kwa miaka mingine 5 na usipoangalia hadi miaka 50 ipite. Vumilia mkuu - CCM ni chama cha ukombozi wala si cha kilofa.
Tafuta pesa ushabiki wa chama aulipi labda upate una ajira ya Chamani
 
Ninatoka jimbo moja kwetu.toka uhuru chama ni kilekile.bahat wabunge tunaopta aisee ni hatar.non creative.jimbo liko hoi acha.
 
Tafuta pesa ushabiki wa chama aulipi labda upate una ajira ya Chamani
Mimi ni mkulima huku Namtumbo, ajira yangu katika CCM ni uanachama wangu, CCM ni chama pekee chenye alama ya kazi yangu "jembe", nakihurumia sana kile chama cha vidole viwili, nahisi wanachama wake wameishia kushikwa vidole na kufuata.
 
Wakati unabwabaja hapa mafisadi jitahidi na ushahidi uwe nao zakuambiwa changanya na zako.
Utetezi huu "ati leta ushahidi" kweli ni wa kitoto. Kwa nini tunapenda kuvaa ngozi ya kondoo wakati tu chui.

Ushahidi upi wahitajika zaidi ya mali walizonazo ambazo hawawezi kuzieleza wamezipataje kwa njia halali!

Ushahidi gani wahitajika kila kukicha majipu yanayotumbuliwa yaonekana kweli ni majipu na siyo majipu bandia au maigizo!

Tuachane na siasa taka, tuunge mkono juhudi za kuondoa viongozi waovu serikalini na taasisi zake. Rungu la Rais lizidishe mapigo.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
ondoa wote wa ccm ni wakora kila mmoja anamauchafu yake huko ccm
 
Kusema ukweli kabisa mpaka leo bado nashindwa....kuwa wapinzani walitumia gani cha kufikiria hadi wakamuona kuwa Lowasa anafaa kugombea uraisi kupitia umoja ambao hapo mwanzo alikuwa akiupinga kwa nguvu zake zote...........

Mbowe alipata wapi ujasiri wa kumpendekeza LOWASA kuwa mgombea wa UKAWA hali ya kuwa anajua kuwa ni fisadi na badala yake anatuambia kuwa mwenye ushahidi atangulie mahakamani......??

SIDHANI KAMA UKAWA KUPITIA CHADEMA WALIKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA KIAKILI WAKATI WANAYAPENDEKEZA HAYO.......

Mbona kigezo kinajulikana, umelala?

"penyepo udhia penyeza rupia".
 
ha ha ha

wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao

wakafanye kazi

as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
mkapa,magufuli,lugumi fc (wazir wa mambo ya ndani)..endeleza
 
Mimi namuunga mkono mh. Raisi kwa hatua anazochukua kudhibiti wizi na ubadhirifu wa mali ya umma. Endelea JPM, ila ambacho naanza kuamini kwamba EL hajahusika na ufisadi uliopo nchini inaonekana baada ya EL kuondoka madarakani ndipo ufisadi mkubwa umefanyika
 
Kusema ukweli kabisa mpaka leo bado nashindwa....kuwa wapinzani walitumia gani cha kufikiria hadi wakamuona kuwa Lowasa anafaa kugombea uraisi kupitia umoja ambao hapo mwanzo alikuwa akiupinga kwa nguvu zake zote...........

Mbowe alipata wapi ujasiri wa kumpendekeza LOWASA kuwa mgombea wa UKAWA hali ya kuwa anajua kuwa ni fisadi na badala yake anatuambia kuwa mwenye ushahidi atangulie mahakamani......??

SIDHANI KAMA UKAWA KUPITIA CHADEMA WALIKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA KIAKILI WAKATI WANAYAPENDEKEZA HAYO.......
.

Matunda ya lowasa halionekani au LA?maana siasa hazina adui wala rafiki wa kudumu
 
Back
Top Bottom