Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

Ufisadi wa Lowassa wakumbushiwa bungeni

Kama kuna watu walileweshwa na pesa za Lowassa ni wewe, tangu yuko CCM uko naye , leo yuko CHADEMA uko naye wenzako ACT WAZALENDO ni maadui wao, Lowassa akihamia huko utakwenda naye!
Jikite kwenye mada husika. Acha kujadili watu.
 
Siasa zetu zinahitaji mabadiliko ili ziwe na tija kwa watanzania. Kwan porojo ni nyiiiiiiiingi sana
 
ha ha ha

wabunge wale ambao kuropoka sana ndio kuliwafanya waonekane wanajua kazi, ili hali majimbo yao hayana huduma bora za jamii imekula kwao
mimi nabisha kwa kuwa mafisadi awali hukamatwa, hupelekwa mahakamani wakipatikana na hatia huadhibiwa na mahakama kifungo au faini au zote pamoja! lakini kama mtu yupo mtaani hajawahi hata kuhojiwa? alipata hata fursa ya kugombea urais na vyombo husika vipo kimya how comes wewe uibuke tuu na kusema fulani na fulani mafisadi? wakamatwe wafunguliwe mashtaka then mahakama ituambie kama ni mafisadi au laa!! acha mbwembwe za hapa JF

wakafanye kazi

as for Lowassa; kuna mtu anabisha kuwa sio fisadi??? LOWASA NI FISADI, wengine ni kikwete, ridhwani, Mbowe, niendelee??
 
Ingawa hakuwa madarakani, bado alikuwa na mkono kwenye ufisadi uliokuwa unafanyika, ndiyo maana hata yeye mwenyewe alishawahi kulalamika kuwa wanaotumbuliwa ni washirika wake.
Nasubiri atumbuliwe lakini naona wanaotumbuliwa wako mbali nae na sioni dalili ya yeye kuhusika
 
Majibu ya swali lako haya hapa:

Inauma sana kuona watanzania mbumbumbu kama nyie na asilimia nyingi ndivyo mlivyo. Yani ukiulizawa upeleke mahkamani ushahidi kuwa lowasa ni fisadi utapeleka icho ki video clip kuwa ndyo ushahidi?

Hadi nakuonea huruma jinsi ulivyo zoba wa kufikiri. Try to use ur brain my friend.

Kama unajitoa fahamu ili kujipendekeza CCM itz oky endelea unaweza pata hta U DC kma Polepole.
 
Tatizo akili zako ni ndogo sana unaropokaa tu kama taila vile usipende kiongea kitu kama huna uhakika. Chadema haikuwai hta sikumoja kutoa ushaidi bali ili toa opinion ambayo walieleza kuwa lowasa anausika na ufisadi wa lichmond. Mbona wakina kikwete walitajwa na hakuna kinachosemwa juu yake?

Binadamu wa kwaida hutumia asilimia 13 ya ubongo wake ila wewe unatumia 0.1%
Rejea bandiko nambari 66
 
read my lips

LOWASSA NI FISADI.period

hivi ile misaada kwa makanisa na misikiti iko wapi?
Hata Kabwe Zitto ni fisadi. Hivyo ndivyo aliweza kuwaweka mjini. Alifisadi NSSF na TANAPA kupitia Leka Dutigite/Gombe Advisors.

Hivi bado ana magari ya Nimrod Mkono? Na lile Hammer Jeupe lenye namba za nje bado lipo?

Naona hali yake siku hizi ngumu, kuwa ACT hailipi kama ilivyokuwa Chadema hadi hela ya hoteli double tree imemshinda na ametokomea na deni tokea mwaka Jana.
 
Nini kinazuia fisadi asichukuliwe hatua za kisheria?Hebu acheni porojo zenu!

Mkuu Msalan hapo kwenye DP yako naona kuna ujumbe kuwa alipo upo..!

Sasa uko nae wapi huyo mzee?monduli au masaki?mbona mmepotea sanaa....
 
read my lips

LOWASSA NI FISADI.period

hivi ile misaada kwa makanisa na misikiti iko wapi?
Kinachonishangaza ni kwamba huyu fisadi haguswi na mtu wala serikali ina maana yeye ni zaidi ya serikali?

Au ana kinga ya kutokushitakiwa kama rais
 
Kinachonishangaza ni kwamba huyu fisadi haguswi na mtu wala serikali ina maana yeye ni zaidi ya serikali?

Au ana kinga ya kutokushitakiwa kama rais
Kuwa na subira, ukitaka kuukata mti mkubwa ulio karibu na Nyumba au Nyaya za Umeme unaanza na kukata matawi yake. Then inakuwa kazi rahisi kulikata shina.
 
Kuwa na subira, ukitaka kuukata mti mkubwa ulio karibu na Nyumba au Nyaya za Umeme unaanza na kukata matawi yake. Then inakuwa kazi rahisi kulikata shina.
Haya boss ngoja nisubiri kama nilivyosubiri mwaka ule Chadema ife
 
Jamani sioni comment kutoka upande wa pili kwenye video zinazosenwa na Viongozi wa Chadema kuhusu Lowassa.
 
Back
Top Bottom