TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
- Thread starter
- #81
Hiki darubini iliyotumika kuibua uozo wa Blandina naomba ipelekwe kila Wizara ili tujui kulikoni ndani ya mtungi ; Sitaki tusubiri mtu afukuzwe ndo tuanze kueleza madhambi yake. Ni vema madhambi yakaelezwa hata kama mtu hajafukuzwa ili tufanye usafi huko mawizarani
Mkuu hii kazi naifanya kwa tabu sana. Tuwahamasishe watumishi wa serikali wajitoe kwa wingi walete data kama hizi. Mi binafsi hizi data nimezipata kutoka wa watu waliokaribu kabisa na System ya Wizara ya Afya na Wizara ya Maliasili na Utalii. Watumishi wa serikali ndiyo wanaotuangusha. Data wanazo sana sema wanahofu kujitokeza humu jumvini!