Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

We have bigger problems than the so called Blandina Nyoni, the system is rotten. Hebu tujiulize inakuwaje a ministry permanent secretary anafanya mambo kama makubwa na machafu kama haya bila watu kujua au hata kujiuliza?

Where is the govt and especially TISS, actions of this kind are a threat to the national security. Hivi wao kwao "usalama wa taifa" ni kitu gani? Wao wanachokiona ni maandamano ya CDM tu na Al Shabab.

Huduma za jamii ni jambo kubwa kuliko Al Qaeda, it's the enemy within your boundaries. Make a mess of it, mambo ya Egypt yatahamia hapa TZ.
 
Kwa nchi hii inavyo endeshwa hawa wachafu watatolewa wizara ya afya na kupelekwa sehemu ingine kuendelea kula
 
kila kitu kina "ukomo" na huu ndio okumo wao maana kila kitu watakuwa wanajichanganya wenyewe wakidhani wanaokoa,

na huyu bibie anatakiwa aburuzwe mahakani, na kama ni janja ili kuwapoza watu/madakitari waelewe watz sio wakudanganywa.
 
Mtu akisimamishwa ofisini mengi yanafumuka
 
Huyu ajiandae kujjibu mashataka kama yale yanayomkabili David Mattakka ya kuvunja sheria ya manunuzi ya umma PPA
 
Du kweli chachu kidogo huchachua donge zima, Tangu madaktari wagome sijaona hata posti moja ya mema ya Nyoni
kweli finishing inamata sana.
 
Yote haya aliyoyafanya then mnasema mafupi yake! Mtoa mada lete na marefu yake.
 
This begins to look like a preemptive motive ya kummaliza huyu mama once and for all. Details zimekaa kimajungu majungu. She might have some faults but it seems vingine vinatungwa.
This woman cannot be single handedly runing the ministry like her private organization.
Where is the minister part in all of this? He is the one to resign. I do not see him being attacked at all. If he was a good minister, mgomo usingetokea on the first place.
I want to see as much attack on the minister too.
 
Huyu mama anafaa kunyongwa kabisa maana hana maana yoyote katika jamii yetu
 
kwa serikali hii legelege na ya kishkaji hatutanshangaa tukasikia anapelekwa kuwa balozi Japan, Sweden nk
 
Kwa machache niliyopata hapa nadhani huyo mama ni mchapa kazi, sema kama kweli anafanya biashara na wizara anazofanyia kazi hapo kuna mgongano wa mslahi, lakini kama ni kweli.

Tanzania hamna kitu kama mgongano wa kimaslahi....ukiwa na law firm, (Masha) unakua waziri wa mambo ya ndani, ukiwa na hospitali unaweza kupewa uwaziri wa afya, ukiwa na mashamba(mungai) unapewa na uwaziri wa kilimo, ukiwa na shule, (maggie) unapewa uwaziri wa elimu...na ujinga wa hivi sehemu zingine nyeti
 
kama tuhuma hizi zikithibitika ni za ukweli basi huyu mama kwa sharia zetu za kiislam lazima apigwe mawe mpaka afe hadharani.
 
je huyo mama yao(B/Nyoni) WENZAKE mbona mp hakuwataja ama kweli hii nchi imelaniwa
 
Huyu faster Kikwete atampa shavu la kuwa Balozi.
 
Huyu Mama inaonekana hana kashfa ya yale mambo mengine! Nadhani bila shaka ingewekwa hadharani kama ilivyokuwa kwa Bi Sophy Simba ama yule Batilda Burian
 
Ngoja apumzike kidogo halafu ahamie Balozini akastaafie huko
 
Tuhuma nyingine inasemekana alikua anamuonea WIVU dereva wake alipokua anaongea na watumishi wengine wa kike.....tehe tehe tehe tehe tehe tehe.............................................:eyebrows:
 
Haya yote yamejulikana baada ya Mr Luhanjo kutoka madarakani, ukiona mwenzio ananyolewa nawe ........
Who's next..........................
 
Back
Top Bottom