Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Serikali yote imeoza.

Hiki darubini iliyotumika kuibua uozo wa Blandina naomba ipelekwe kila Wizara ili tujui kulikoni ndani ya mtungi ; Sitaki tusubiri mtu afukuzwe ndo tuanze kueleza madhambi yake. Ni vema madhambi yakaelezwa hata kama mtu hajafukuzwa ili tufanye usafi huko mawizarani
 
Bado anakula mshahara wa kamishna TRA.. 22Milions+! najiuliza kuna sheria ya kuhama na mshahara?
 
Blandina Nyoni amekumbwa na matukio mengi ya kususiana na Wakubwa wenzako toka alipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alikuwa haivi na hasalimiani na Waziri wake Bi Shamsi Mwangunga. Alipohamishiwa Afya mwishoni mwa 2008 pia akagombana na Naibu Waziri wa wakati huo Bi Aisha Kigoda na hadi anaondoka Wizarani hapo bado walikuwa hawaivi. Sijui huyu Mama ni Mtu gani? Maana hata watumishi wake kuazia alipokuwa Hazina, Maliasili na Sasa Afya wamekuwa wamkimkataa kutokana na Uongozi wake Mbovu wa kutojali maslahi halali ya watumishi wake mfano malipo ya likizo, uhamisho, extra duty allowances, etc!
 
duh kumbe she z so evil! huyu namfananisha na dean faculty ya medicine pale IMTU!
 
Tunaomba na wale walioko Wizara ya Ardhi na wizara zote alizopita watupe ufisadi wa Katibu Mkuu Patrick Rutabanzibwa; maana naye anajifanya Mungu mtu. Hana tofauti na Blandina, halafu naye ana roho mbaya sana!
 
Jamani, haya madudu ya huyu Blandina yamekuwa yakilindwa na kaka yake Philemon Luhanjo ambaye kwa madudu yake aliyofanya akiwa KM Kiongozi alikuwa naye Mtu - Mungu. Lakini kwa ubomoaji wa amri ya Mungu ya sita namfahamu tangu akiwa IDM Mzumbe na hata akiwa Sekondari. Msitie mchanga kitumbua cha Wakubwa kwani wanaona bado ni embe dodo imelala mchangani.


imwan


"Nyoni"........Wangoni wanaume balaa, wanawake moto chini...au naota?
 
Ili kuitendea haki nchi hii na kwa heshima kwa watanzaniaa wote waliokufa kutokana na mgomo wa madaktari uliosababishwa na kiburi cha huyu mama ingefaa sana kama huyu mama angepigwa risasi ya utosini ili akapumzike motoni. Huu wizi haukubaliki kabisa. Amevuka hata uhalifu wa Madoff.
 
Kama kawaida yetu atahamishwa tu.Unafikiri alikuwa anakula mwenyewe.wala usishangae ukisikia jairo afya,nyoni nishati na madini
 
Yani ingewezekana sheria itungwe kila anayefisadia mali ya umma ANYONGWE tena ikiwezekana iwemo ndani ya katiba mpya labda wataacha washenzi hawa
 
Question, wakati mambo yote haya yanafanyika, Waziri wa Afya na Naibu wake walikuwa wapi? Au na wao ni mkumbo mmoja? Isiwe ikawa anafanywa kama scapegoat.

Mambo ya yeye kupenda ndogo ndogo got nothing to do with utendaji wa kazi. Kuna viongozi wangapi wanafanya haka kamchezo? Lets be real guys
 
huyu hayuko peke yake wengine muwaseme msiogope ili tuiokoe serika.
na kuna mabosi uchwara wana vikampuni vya kusaply ukitenda wewe unakwama wanachukua data zako ndizo wanazitymia kutuma vitu , nao kama mwawajua tuanze nao.
 
Hivi vingamuzi vya magari ni tv au ni nn naombeni mnielewesheni. Kama ni tv vya kwenye magari kwa bei hii anayosema Tumbiri kama ni kweli ni kifungo cha maisha. Vingamuzi vinne hazizidi 1.3 Billion.

Mkuu Kuntakint,
vingamuzi vya magari ni Security na Fuel control system ya Magari ambavyo Blandina Nyoni aliipendekeza Wizara ya Afya iwe navyo ili kila gari lifungiwe hiyo system kwa ajili ya kucontrol matumizi ya mafuta na kulinda magari ya Wizara dhidi ya Wizi. Bahati mbaya ni kwamba ingawe yeye ndiye alikuwa muumini wa hiyo system, yeye mwenyewe akaikomand Wizara inunue from a Specified Manufacturer ambaye yeye alikuwa anamjua. Kibaya zaidi system yenyewe ni very expensive kwa sababu alifungi magari manne tu kwa shilingi 1.3 Billion. Yani gari lake la Katibu Mkuu, Waziri, Naibu Waziri na Mganga Mkuu wa Serikali.
 
Unaweza kungalia upande mmoja wa hasara ya yeye Nyoni kucentralise lakini angalia na hasara nyingine ya decentralsation ya kila ktengo kuwa na idara ya manunuzi Hapo ni ufisadi ule ule

Mkuu utaratibu wa Serikali ni kwa kila Idara kuwa na Procurement Officer wake na kila Idara ina Procure based on his needs requirements. Sasa mwenzetu amecentralize kinyume na taratibu na amefanya hivyo makusudi ili kutengeneza 10%. Kama serikali inaona Decentralization of Procurement ni hasara cha muhimu tubadili utaratibu kwanza si kumruhusu mtu afanye vinginevyo kwa visingizio kuwa utaratibu uliopo ni wa kifisadi.

 
Back
Top Bottom