Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Kwa machache niliyopata hapa nadhani huyo mama ni mchapa kazi, sema kama kweli anafanya biashara na wizara anazofanyia kazi hapo kuna mgongano wa mslahi, lakini kama ni kweli.
 
Amesiamishwa huyo mama na furaha yangu iko kama huyu...........sipumziki wala nini kurukaruka........Huyo Dr Mtasiwa(Mganga Mkuu) arudi Kagera aje tulime mihogo maana ndizi zimepigwa mnyauko!
 
Samahani wakuu,
Hivi huyo Nyoni ni baba yake au mumewe?
Napata shida kidogo maana hizo tabia alizonazo, sisi akina Mapunda na Mang'ombe hatuna tabia kama zake....
 
Jiulize wako wangapi kama yeye kwenye system, ndio maana unaambiwa hili gari linahitaji overhaul, wameoza jamani, kwa taarifa yako hayo uliyoorodhesha ni madogo tu, ndio maana hata chenge aliwahi kusema hivi nilivyonavyo ni vijisenti, halafu mkuu umesahau namba 22.

Ununuzi wa mapazia kwenye jengo jipya muhimbili, fuatilia hili utagundua mariedo yumo.
 
Ni ukweli kuwa Director of Adminstration and Personnel (Bi Tabu Chando) ni mtu ambaye anapenda sana kujinyenyekea kwa uongo na kwa ghrama za watu wengine. Ukweli Tabu Chando bila ya kujinyenyekea asingeweza kufika hapo alipofikia kwa kuwa Tabu aliolewa na Mkinga yeye binafsi ni mnyakuyusa si unawajua hawa wenzetu na ile ndaga yao ya kujikomba? hivyo huenda alikuwa naitumia hiyo ndio maana alikuwa informer vizuri kwa huyu KM mbena sio kwamba alimbakiza hapo kwa kuwa anajua kazi sio kweli.
 
Hivi huyo Nyoni (mme wa blandina)afanyaye kazi BOT nasikia alikwisha mtosa.....mwenye habari atujuze.
 
Mumewe anaitwa Cashmir Nyoni. Formerly BOT Director of Personnel and Adm who was succeeded by Liyumba. He is an Executive Director -Tanzania Institute of bankers
 
Dah huyu mama kumbe hamna kitu ameitafuna nchi bila haya wala woga an wala hata hajaacha mifupa. i keep on wondering kwanin ajappear kwenye list of shame ya Dr Slaa coz anaqualify indeed
 
Mumewe anaitwa Cashmir Nyoni. Formerly BOT Director of Personnel and Adm who was succeeded by Liyumba. He is an Executive Director -Tanzania Institute of bankers
Na huyo bibie blandina naye ni raia wa mkoa gani?
 
Kama ni kweli inabidi afilisiwe vitu virudishwe serikalini. Huyu mama amepata wapi hii jeuri?
 
Heri jambazi mwenye bunduki kuliko jambazi anaye tumia kalamu.uyu ni hatari kupita maelezo.
 
Kwa machache niliyopata hapa nadhani huyo mama ni mchapa kazi, sema kama kweli anafanya biashara na wizara anazofanyia kazi hapo kuna mgongano wa mslahi, lakini kama ni kweli.
Hoja yako inafanana sana matendo aliyotuhumiwa mtawala wa awamu iliyopita!
 
1. kampuni ya ulinzi ya muhimbili NGE tenda haikutangaza kampuni ni ya Blandina nyoni.
2. Amechukua mashine za kusfishia figo akishirikiana na Dr Linda Ezekiel pamoja na reagent na filter wakazipeleka kwenye msasani kwenye hospital yao nyoni akiwa na share.
list inaendelea

Kwenye hili la linalohusu mashine ya haemodialysis binafsi sitawasamahe Linda na Blandina mpaka naenda kaburi, haiwezekani hospitali kama Muhimbili ikakosa huduma ya dialysis wakati dialysis machine kwa miaka miaka mingi tuu ila hujuma za wajanja wachache wanaojulikana vizuri tuu, kwa uzembe huo watanzania wengi tuu wanapoteza maisha hapo Muhimbili kwa kukosa huduma ya dialysis wakati mashine ipo ila ina miss some parts & reagents ambazo huwa zinaagizwa kwa gharama ya wizara ya afya kila mara, mbaya zaidi hazifiki Muhimbili badala yake zinafikia msasani kwenye hospitali ya Dr. Linda.

Nchi hii sijui ina imelaaniwa polisi wapo, usalama wa taifa wapo ( ?sijui kwa faida ya nani), serikari (hata kama ni lege lege) ipo, takukuru wapo, mahakama zipo, jeshi lipo, .. lakini sijui ni kwa nini mijizi kama Linda na Blandina inaendelea kuwaibia watanzania hasa wale wasio na uwezo.

Ipo siku tutajichukulia hatua mkononi
 
Angekuwa kwa Kagame angewa jela kitambo, China huyu angekwa hamna.

CCM kwa kulindana utasikia uchunguzi umemalizika na Nyoni karudi kazini kwa mikogo
 
Back
Top Bottom