Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

MBN Samia kauza bandari tupo tu! Uranium nyingi ya ufaransa inatoka Niger
Niger iko gizani, inapatiwa umeme na Nigeria lakini Uranium ya Nigeria ndiyo inayowasha umeme wa Ufaransa na kuuza ziada ya umeme kwa nchi nyingine za ulaya. Kiongozi aliyepinduliwa anaona wafaransa kusomba madini yao na kuwaacha wao gizani ni sawa lakini kiongozi aliyepundua anaona hiyo sio sawa, ni nani yuko sawa kati ya hao wawili? Afrika imuunge mkoni nani kati ya hawa? Afrika tunahitaji seti mpya kabisa ya namna ya kufikiria na kutenda. Kama ilikuwa siri sasa ni bayana kuwa kumbe wakoloni hawakuondoka Afrika bali walitafuta tu mbinu nyingine ya kupata malighafi, cheap labor na masoko kwaajili ya bidhaa zao.
 
Africa hatuwezi kuamka kwasababu Kila mtu ni mbinafsi anaangalia kwanza tumbo lake.
Hiyo ndiyo tabia halisi ya mtu masikini sana mwenye majukumu (kutunza familia, ajira, biashara). Maskini hafikirii chochote zaidi ya kufikiria namna ya kupata chakula cha leo kujilisha yeye na familia yake na namna ya kujivisha, pahala pa kulala na kujitibu. Hii falsafa wanaijua watawala wetu na mabeberu. Ukienda kule ulaya/Marekani wanahakikisha kuwa hakuna kitu cha bure kabisa. Elimu ya juu wameifanya iwe ghali sana kwa maskini kumudu kuipata, kila mtu alipe kodi, na vitu vyote viwe vya gharama za juu sana ili watu wasiwe na muda wa kuwaza mambo mengine zaidi ya kufanyakazi kwa bidii ili waweze kulipa mikopo yao, na kupata chakula cha familia, usafiri, malazi na matibabu. Wazungu maskini baada ya kugundua hivyo walipambana na hali hiyo kwa kujikita kwenye sanaa, kuacha kuoa, na kuzaa na kugeukia ushoga ili kupata ladha ileile ya kuoa lakini bila kuzaa watoto. Hii ndio iliyowapa mwanya wa kufanya savings na kupata muda na nguzu za kudai demokrasia kutoka kwa watawala wao.
 
Ipo Siku Wananchi wa nchi za Afrika watakuwa wamoja na kufanya mahamuzi ambayo yatazishangaza nchi za magharibi....unachoona uko Niger uwo ni Mwanzo tu wa chemchem ya mabadiliko...nchi nyingi Afrika Bado zina uhuru wa bendera.
Viva Afrika.
Viongozi wetu vibaraka wanataka kuisaidia Ufaransa (bwana wao) kuiondoa serikali ya mapinduzi eti kumrejesha kiongozi aliyechaguliwa "kidemokrasia". Kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia ndio ana ruhusa ya kuruhusu rasilimali za wananchi kuibiwa na wafaransa na kuwaacha wananchi gizani bila umeme, chakula, madawa, nk?
 
Hapa ndipo inanijia kumbukumbu na taswira ya yule mwamba wa chato JPM

Miongoni mwa viongozi waliobarikiwa karma ya kuwatumikia watu. R.I.P mwamba
Alizimwa kama kibatali cha mafuta ya taa. Leo hii nchi za Afrika ni rahisi sana kwa mzungu kuingia nchini kuliko kwa mwafrika mwenzao kutoka nchi ya Afrika. Nguo kuukuu za mitumba kutoka kwa wazungu ni rahisi kuingia Afrika kuliko kifaranga cha kuku kutoka nchi ya afrika. Hii haiko hivi kwa bahati mbaya tu, lakini ni mbinu ya kuwazuia waafrika wasiwe kitu kimoja; divide and rule iliyotengenezwa kwa kutumia viongozi wetu vibaraka.
 
Ufaransa bila kuinyonya Afrika hawawe kuwepo.Hivyo nia wa ya kupeleka jeshi ni kulinda maslahi yao pekee.Hakuna maneno mengine ya kudanganya.
DR Congo, Rwanda, Burundi, Mali, Congo, Afrika ya Kati, Chad, Burkina Faso, Niger hakuna utulivu kwasababu ya Ufaransa. Ufaransa haina machimbo ya dhahabu lakini ni nchi ya 3 duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu kwenye maghala yake.
 
Russia yupo atatusaidia sisi Niger
Huyu hapa alishaachana na West kitambo na kuambatana zake na Russia, sasa hivi hana pressure tena ya mambo yenu ya demokrasia anaendelea kuzindua Visima vya maji kwenye Jiji la Harare
30054a0a977a44b9b8f92e71aa7e9c7a.jpg
 
Hata huyu aliyepindua nchi ni kibaraka wa RUSSIA au anaandaliwa kuwa kibaraka wao.

Jiulize Wagner na Putin wana maslahi gani Niger
Fungua macho yako ili uione dunia. Hawa Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram, M23, nk ni vikundi vya kijeshi vya nchi za magharibi kwaajili ya kuziangusha serikali halali makini barani Afrika na Uarabuni ambazo zinazuia rasilimali zao zisiporwe na nchi za Magharibi. Vikundi hivi vinazuia rasilimali za Afrika na Asia zisiende nchi za Urusi, China, India, N.Korea, Japan au kwingine isipokuwa nchi za Magharibi na marekani. Vikundi hivi vinapewa mafunzo ya kijeshi, vifaa vya kisasa vya kijeshi na fedha kutoka nchi za Magharibi ili kusaidia uporaji. Urusi walitengeneza Wagner kama kujibu mbinu hizi za kipumbavu za Magharibi katika kufanikisha uboraji wa rasilimali za Afrika na Asia.
 
Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu.

Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha ni ushahidi tosha kuwa kiongozi wao alikuwa akiwanufaisha wafaransa zaidi kuliko wao, kiongozi wao ni pandikizi la wafaransa kwaajili ya wafaransa. Maana yake ni kwamba uchaguzi wao uliingiliwa na Ufaransa kwaajili ya Ufaransa,

Hii ni kengele kuwa ya kutuamsha waafrika kujua kumbe umaskini wao sio wa bahati mbaya, kumbe baadhi ya viongozi wao ni mapandikizi, kumbe demokrasia ya uchaguzi ni uchochoro mzuri na mpana wa mabeberu kutupandikizia watu wao kwaajili yao, kumbe tunataka hatutaki lazima tunyonywe, kumbe, kumbe, kumbe Afrika haiko huru kabisa na kumbe baadhi ya viongozi ni vibaraka wa Wazungu ndio maana umoja wa Afrika kamili haupatikani.

Juzi tumesikia kuwa Benki ya dunia imesitisha mikopo kwa Uganda kwasababu ya kupinga ushoga. Hii Ina maana kwamba kumbe nchi zote ambazo hazikusitishiwa misaada na World Bank zimeukubali ushoga. Benk ya dunia na ushoga vina uhusiano gani? Waafrika amkeni kumekucha.
Ttzo sio wazungu bali ttzo ni nyiny wapumbavu mnaoshabikia mkataba usio na muda kisa ni dini moja na waarabu au kisa rais wa nchi ni mzenji au mwislamu mwenzio , ss kwann wazungu wasiwaibie km mnashabikia viongozi Udini au ukabila , the same huko niger , kosa sio wafaransa kosa ni wanaija wenyewe , Waafrika kujirekebisha makosa yetu tuyabebe sio kutafuta mchawi nje ya Afrika , ukilala uchi utachunguliwa tu
 
Ttzo sio wazungu bali ttzo ni nyiny wapumbavu mnaoshabikia mkataba usio na muda kisa ni dini moja na waarabu au kisa rais wa nchi ni mzenji au mwislamu mwenzio , ss kwann wazungu wasiwaibie km mnashabikia viongozi Udini au ukabila , the same huko niger , kosa sio wafaransa kosa ni wanaija wenyewe , Waafrika kujirekebisha makosa yetu tuyabebe sio kutafuta mchawi nje ya Afrika , ukilala uchi utachunguliwa tu
Hiyo ni tofauti na hii. Unatumia hisia zako katika kujenga hoja nzito kuliko facts (ushahidi). Ukweli usiokuwa na mashaka ni kwamba:
1. bandari yetu haifanyi vizuri katika kuwahudumia wateja wa bandari.
2. Kwenye bandari kuna ubadhilifu mkubwa sana hata baada ya kubadilisha uongozi wa bandari kila wakati.
3. Wafanyakzi tulionao bandarini hawana ujuzi mkubwa wa kuendesha bandari kubwa
4. Bandari inahitaji miundombinu na vifaa ghali sana ili ifanyekazi kwa ufanisi, ambazo hatuna.
5. Bandari zetu zinashindana na bandari nyingine kwenye kwenye kanda yetu kusini mwa jangwa la sahara.
6. Mchango wa bandari kwenye pato la taifa ni dogo kuliko inavyotakiwa iwe.

Sasa hizi ndizo facts zinyewe kuhusu bandari yetu. Kwahiyo mtu mwenye akili timamu na njia njema na mkweli ni yule ambae atasaidia kutoa mawazo yake juu ya namna ya kuziondosha hizi changamoto 6 nilizozitaja hapo juu badala ya kulalamalalama kwa kutumia hisia na utashi wake. Unachosema wewe hakina maana kabisa, yaani unamaanisha kuwa kama mkataba huuhuu kama ulivyo wangepewa wakristo au wazungu ungekuwa huna tatizo nao.
 
DR Congo, Rwanda, Burundi, Mali, Congo, Afrika ya Kati, Chad, Burkina Faso, Niger hakuna utulivu kwasababu ya Ufaransa. Ufaransa haina machimbo ya dhahabu lakini ni nchi ya 3 duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu kwenye maghala yake.
Sasa tunakoelekea uko watakuja kuuza izo dhahabu zao zote, baada nchi za Afrika walizokuwa wakizitawala kustuka na kuanza kuwafurumusha...kazi ndo imeanza.
 
Back
Top Bottom