Watu wengi wanapenda uongo mzuri wa kusema watu wanaweza kuwa na supernatural powers, kuliko ukweli mchungu kwamba hizo ni hadithi tu.Yupo yule sijui mshana jr hua anawapata sana humu wale wavivu wa kufikiri na story zake za kichawi!
Mkuu hapo kwenye red wakikujibu niite pls!UKIMWI unathibitishwa medically, empirically, sihitaji kuumwa.
Uchawi unathibitishwaje?
Ndiyo maana nataka mtu aniroge, nipate vipele kwenye vidole vyote 10, nishindwe kuja JF.
Nimetoa siku saba kama Mrema, na kidau cha US $ 10,000 kwa yeyote atakayeweza kuniloga.
Changamkia tenda kama utaweza.
Inategemea kama unaongea Kimvita, Kimrima,Kiunguja, Kipemba, Kihadimu, Kipate, Kimgao, Kingozi, Kiamu, Kibarawa, Kingwana, Kijomvu, Kivumba, Kingome, Kikomoro, Kingazija, Kimwani na kadhalika.
Zote hizo ni lahaja za Kiswahili, wengine wanasema "kuloga", wengine wanasema"kuroga", vyote vinakubalika.
Ila kalamu na karamu ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti.
Kiswahili.
Khaaa!!Speak for yourself.
Your passive-aggressive dilly-dallying is a slippery slope of phoney baloney and hocus pocus of pitter patter that is chit chat for the hoi polloi, your arguments, mutatis mutandis, cannot tie the shoelaces of mine.
Nimewapasiku saba kama Mrema, na kidau cha $10,000 juu, waniloge kama wataweza.Mkuu hapo kwenye red wakikujibu niite pls!
Tanga nimeishi, kuanzia handeni, lushoto, muheza, kwamsisi, mpk mombo.Twaib! Maelezo murua kabisa hayo.
Ni kama ‘spitali’ na ‘hospitali’ au ‘benki’ na ‘banki’ au ‘shemegi’ na ‘shemeji’.
Kuna mke wa mtoto wa baba yangu mdogo kila tukikutana ananisalimia ‘habari shemegi’.
Yeye ni mtu wa Tanga.
Ok[emoji3]Speak for yourself.
Your passive-aggressive dilly-dallying is a slippery slope of phoney baloney and hocus pocus of pitter patter that is chit chat for the hoi polloi, your arguments, mutatis mutandis, cannot tie the shoelaces of mine.
Tanga nimeishi, kuanzia handeni, lushoto, muheza, kwamsisi, mpk mombo.
Shemegi nimelisikia hapa kwako.
Huyo ana matege ya mdomo
Kabla haujaenda Gamboshi pita muone kwanza Mshana Jr akupe hirizi ya kinga vinginevyo unaweza usirudi
Huyo Gamboshi kwao, amekwenda huko kabla ya kumjua Mshana, leo unataka Mshana ampe hirizi mtu kwenda kwao?
Yaani Mimi niliyepo Lindi nikuroge we uliepo mwanza sijui arusha wapi ....hiko kitu hakiwezekani na hakitatokea ....hata hao wanaorogana wanaonana now days....kias mtu anajua unakanyaga wapi....unapigia wapi mswaki .....ukikaa matako unakalia wapi......sio mtu hakujui akuloge haiwezekani$10,000. USD.
Jana nimeweka challenge, leo nimeamka na vidole.
Naongeza muda kutoka siku moja mpaka wiki moja, mpaka tarehe 15 June, labda mtu anaweza kudai siku za mwenda kumtafuta fundi.
Haya sasa $10,000 za bure kwa atakayeweza kuniloga nisije JF kwa kuwa vidole vyote kumi vimepata upele wa ajabu kwa kulogwa.
Basi huko si kurogana.Yaani Mimi niliyepo Lindi nikuroge we uliepo mwanza sijui arusha wapi ....hiko kitu hakiwezekani na hakitatokea ....hata hao wanaorogana wanaonana now days....kias mtu anajua unakanyaga wapi....unapigia wapi mswaki .....ukikaa matako unakalia wapi......sio mtu hakujui akuloge haiwezekani
Wewe jamaa huwa ni bwege sana,una u much know wa kishamba sana,unadai hakuna Mungu,wamarekani ambao ni taifa namba moja Duniani,ktk pesa yao ya $ wameandika "IN GOD WE TRUST" unadhani ni Mungu yupi waliyemwandika? wewe na ki Elimu chako cha kuokoteza huwezi kuwazidi akili na upeo senators waliopitisha sheria ya dola kuandikwa jina la Mungu,unakera sana,you better should have maintained neutrality than exposing the severity of your stupidity.Tunapenda sana fantasies.
Na walivyotifuana ovyo na kuchangia kavukavu, waanze kuandaa kizazi kingine cha bongofleva/Ile ni ngwengwe OG wasani ni wetu wa kuchapachapa sana Bila kujilinda,wakiletewa wao wanachomeka tu
Ova
DadekiMimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
Mfano wako wa hela ya Mmarekani ni mzuri sana.Wewe jamaa huwa ni bwege sana,una u much know wa kishamba sana,unadai hakuna Mungu,wamarekani ambao ni taifa namba moja Duniani,ktk pesa yao ya $ wameandika "IN GOD WE TRUST" unadhani ni Mungu yupi waliyemwandika? wewe na ki Elimu chako cha kuokoteza huwezi kuwazidi akili na upeo senators waliopitisha sheria ya dola kuandikwa jina la Mungu,unakera sana,you better should have maintained neutrality than exposing the severity of your stupidity.
Ngoja nikuonyeshe kuwa uchawi upon king show ukiamka njooo useme kwenye comment kuwa umeamkapamoja na ubish wangu wa kuamin kama uchawi upo niliokuaga nao kama wengne ila uliisha maana hii mimi nishaona