Ufahamu uchawi wa Sigil

Ufahamu uchawi wa Sigil

Mshana mi nashida moja huwa nikiamka asubuhi mara kadhaa huwa naukuta mdomo mchungu yaani kama vile nimebugia chumvi kabla ya kulala. Uchungu sio mchezo.

Nilijaribu kufanya uchunguzi huenda maji yakawa tatizo lakini nilijaribu ndani ya siku kadhaa niliamka sikuwa na uchungu mdomoni.

Mi nilichokiwaza huenda nalishwa Nyama za watu bila ya mimi kunua ama. Kwanini niamke mdomo wangu unaladha ya chumvi kalii ???
 
Mmh hili hebu cheki na tabibu.. Kulishwa nyama unaamka umevimbiwa au kichefuchefu cha kutema mate kama umbwa
 
Hebu itafute google

mkuu tulikuta mayai mawili, miguu ya kuku miwili na kitu kimefungwa kama maiti na kuzungushiwa sanda vyote vikawekwa juu ya kaburi pia msalaba wa hilo kaburi ulichomolewa na hadi leo hatujafanikiwa kuupata hii ina maana gani mkuu
 
Mayai kwa vyovyote yalikuwa viza..hapo kuna mtu katengenezwa...kuna kingine hamjakiona.. Maji ya mochwari! Na kuondolewa msalaba ni kuondoa nguvu ya kimungu
 
shukrani sana kwa taalifa sasa huyo mtu alie tengenezwa ni uyo alie kufa au wanatumia kaburi kutengenezea wtu wengine bila ya kuhusika kwa marehemu
 
Mayai kwa vyovyote yalikuwa viza..hapo kuna mtu katengenezwa...kuna kingine hamjakiona.. Maji ya mochwari! Na kuondolewa msalaba ni kuondoa nguvu ya kimungu

pia ningependa kuuliza inaruhusiwa kuweka msalaba mwingine mkuu ama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom