Hearten
Member
- May 17, 2016
- 46
- 54
Mtindo huu ulianzishwa na Wanaume lakini baadaye Wanawake waliupenda na kuanza kutumia
Licha ya kupendezesha kichwa na kuleta muonekano wa kipekee lakini pia ulitumika kuwatambulisha vijana wasio na wapenzi
Kama kupendeza ni huko basi bhwana wacha nitishe tu
Kama mchawi!
Kama kupendeza ni huko basi bhwana wacha nitishe tu
Kama mchawi!
Huyo mzee pia alikua single ?
Ha ha ha eti mzee.Huyo mzee pia alikua single ?
Ha ha ha, jamani.
Huyo dada hapo katanua ipunge upepo?
Huyo dada hapo katanua ipunge upepo?