Ufahamu mtindo wa nywele wa Amasunzu ulitumika kubainisha kuwa single kwa vijana

Hearten

Member
May 17, 2016
46
54
IMG_20181219_215326.jpg
Huu ni mtindo uliojizolea umaarufu nchini Rwanda kwa miaka mingi iliyopita. Muonekano wake ni kama ilivyo katika picha

IMG_20181219_215314.jpg

Mtindo huu ulianzishwa na Wanaume lakini baadaye Wanawake waliupenda na kuanza kutumia

IMG_20181219_215324.jpg

Licha ya kupendezesha kichwa na kuleta muonekano wa kipekee lakini pia ulitumika kuwatambulisha vijana wasio na wapenzi

IMG_20181219_215316.jpg
 
Sidhani kama huo mtindo ulikuwa unatumika kutambulisha wasio na wapenzi. Ila ni automatic tu ukinyoa hivyo unakosa mpenzi. Na ikitokea umepata mpenzi hatoruhusu uendelee na style hiyo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom