Ufafanuzi wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU) juu ya utoaji Shahada za Heshima

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Tume ya vyuo vikuu Tanzania TCU imetoa tamko kuhusu utaratibu wa utoaji wa shahada za heshima yaani honorary degrees,hii ni kutokana na mjadala wa PhD ya heshima aliyopewa Dkt.Msukuma hivi karibuni.

IMG_20211208_190557.jpg
 
Naona TCU kwa hiyo barua yao wamekaa kiuwoga uwoga na kiujanja ujanja, kwanza wamekuja na lugha ya malkia huku wakitumia intellectual term kibao.

Sisi tunataka TCU waseme sasa, je zile Phd za kina Msukuma ni halali au haramu?
Kama ni haramu, hatua gani zichukuliwe, wamezichukua au watazichukua?
 
Kwa maana hiyo TCU hawatambui fafa na kofia ya ujinga aliotunukiwa huyu darasa la saba wetu.
Dr Msukumaaaaa!( nasikia ni Pubic hair Dresser!)
Anakwepa umande ukubwani- anasoma, hakuna jinsi.
Dkt Joseph Kasheku Msukuma, Nyungu
Anakwenda Mbali Kwa Elimu
Haa
 
Tume ya vyuo vikuu Tanzania TCU imetoa tamko kuhusu utaratibu wa utoaji wa shahada za heshima yaani honorary degrees,hii ni kutokana na mjadala wa PhD ya heshima aliyopewa Dkt.Msukuma hivi karibuni https://t.co/XiWf1lAAlo
View attachment 2037365
Mnapata faida gani kudanganya Umma kwa barua ya tarehe 19 Februari 2020? Phd ya Dakta Musukuma inatofauti gani na ile ya Prof. Palamaganda na WAHUNI wengine huko Lumumba? Dakta Musukuma apewe heshima yake.
 
Back
Top Bottom