Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,237
Gwajima aishauri polisi imkamate Hemedi Msangi...
Mbona ni habari za uzushi?
Halafu kina kova wakafunga jalada la upelelezi wa utekaji ulimboka?Mtu huyo alipoulizwa mbele ya polisi kuhusu aliyoyasema alisema ni kweli. Pia alikiri alitumwa akamteke Mch Gwajima. Mch anasema kwa vile kanisa lake linaikosoa serikali inawezekana. Cha kushangaza baada ya kusema hayo Mkenya huyo akasema ni kichaa na anasikitika kwa kuropoka maneno ambayo hayapo
God is Great.
Creator of heaven and dunia
Gwajima aishauri polisi imkamate Hemedi Msangi...
Walinzi baada ya kuona huyu ni mhalifu ambaye labda ametumwa au alikuwa na nia ya kufanya uhalifu wakapeleka polisi. Jambo hili liibuka tarehe 26.6 na wala si juzi. Baada ya kumpeleka polisi wakamwacha pale na hawakufuatilia tena
Anataka kutuhamisha topic anafikiri wote ni vihiyo kama yeye,atulie kama alivyo tutafika tuUmekalia nini kinachokunyima raha!!' nahisi kuna KITU umekalia wewe!
Ni sawa na kumshauri baba mwanaasha vasco de traveller amkamate rizioneGwajima aishauri polisi imkamate Hemedi Msangi...
Kwa nini...?
Kanisa la Ufufuo halijawahi kutangaza kuwa kuna mtu alikuja kutubu
badala ya kuhangaika sana na Mkenya, hemed Msangi akamatwe ahojiwe maana ametuhumiwa na hiyo itaisaidia serikali. Naishauri serikali tishio la kuondoa leseni kwa madaktari ni baya sana. Badala ya kufuta leseni lisuluhishwe kwa kutumia busara. Inaonekana kuna watu wapuuzi wanamshauri Rais na ndio maana mambo yanayumba. Inawezekana JK amezungkwa na washauri wasiofaa. JK katika hotuba yake JK alisema serikali ni mtuhumiwa pia ya kumteka Dr Ulimboka na hivyo ni jambo la ajanbu mtuhumiwa kujipeleleza. Itafutwe tume huru kuchunguza jambo hili ili matokeo yaaminike
Police wajipange tena. Dr Ulimboka alitekwa usiku wa tarehe 26.6.2012. Na hao watu walimtesa hadi alfajiri ya tarehe 27.6.2012. Sasa huyo Mkenya alienda sasa ngapi kutubu kanisani tarehe hiyo 26.6.2012?