Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

inashangaza kuwa jambo hili lilitokea tarehe 26.6 lakini polisi hawakutoa taarifa hadi juzi. kwa hiyo mtu huyo hakuja kutubu bali kueleza na wao wakaona si watu muafaka wa kuelezwa. Kama alikuwa na nia ya kutubu hakueleza na pia kwanini aje kanisa hili? Je, kwanini hakwenda kwao kutubu kenya?
Hatari hii
 
Baada ya kumfikisha polisi na kueleza kilichotokea mtu huyo akakiri ni kweli amesema alihusika na kumtesa Ulimboka. Polisi wa Kawe wakampeleka Osterbay na kanisa halikufuatilia tena. Wiki mbili zilivyopita ndio walinzi waliokuwa wamemkamata ili kutoa maelezo
 
Walinzi baada ya kuona huyu ni mhalifu ambaye labda ametumwa au alikuwa na nia ya kufanya uhalifu wakapeleka polisi. Jambo hili liibuka tarehe 26.6 na wala si juzi. Baada ya kumpeleka polisi wakamwacha pale na hawakufuatilia tena

Dah...! Kumbe ni ishu ya muda mrefu. Kova anaumbuka live.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Baada ya kumfikisha polisi na kueleza kilichotokea mtu huyo akakiri ni kweli amesema alihusika na kumtesa Ulimboka. Polisi wa Kawe wakampeleka Osterbay na kanisa halikufuatilia tena. Wiki mbili zilivyopita ndio walinzi waliokuwa wamemkamata ili kutoa maelezo
akakiri?
Ok walimtesa Ulimboka siku kadhaa kabla ya Kumteka Juni30?
Kweli katubu polisi huyo
 
Mtu huyo alipoulizwa mbele ya polisi kuhusu aliyoyasema alisema ni kweli. Pia alikiri alitumwa akamteke Mch Gwajima. Mch anasema kwa vile kanisa lake linaikosoa serikali inawezekana. Cha kushangaza baada ya kusema hayo Mkenya huyo akasema ni kichaa na anasikitika kwa kuropoka maneno ambayo hayapo
 
inashangaza kuwa jambo hili lilitokea tarehe 26.6 lakini polisi hawakutoa taarifa hadi juzi. kwa hiyo mtu huyo hakuja kutubu bali kueleza na wao wakaona si watu muafaka wa kuelezwa. Kama alikuwa na nia ya kutubu hakueleza na pia kwanini aje kanisa hili? Je, kwanini hakwenda kwao kutubu kenya?
Hayo ndo maswali tunayotaka majibu yake. Hivi huyo mchungaji hawezi kuongea na waandishi wa habari baada ya ibada waweze kuuliza maswali kama hayo labda anaweza kuwa na mwanga kidogo. Dr. alitekwa lini?
 
inashangaza kuwa jambo hili lilitokea tarehe 26.6 lakini polisi hawakutoa taarifa hadi juzi. kwa hiyo mtu huyo hakuja kutubu bali kueleza na wao wakaona si watu muafaka wa kuelezwa. Kama alikuwa na nia ya kutubu hakueleza na pia kwanini aje kanisa hili? Je, kwanini hakwenda kwao kutubu kenya?

zaidi mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom