Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

polisi wakawaambia walinzi wa kanisa wasiseme chochote kuhusu hilo maana mtu huyo alisema ni kichaa. Siku ya pili Mch akasema akashangaa Kamanda kova kutoa taarifa ya uongo kwa kilichotokea tena wiki mbili baada ya tukio. Mch akashangaa limekujaje wakati tayari polisi walishasema ni kichaa pamoja na kwamba aliziungumza maneno yaliyotoke kweli
 
Mchungaji Gwajima amesimama na anaanza ufafanuzi
Update:

Anasema yeye anafafanua kwa habari ya washirika wake ambao wamesikia taarifa husika. Kwanza amen za na kuwauliza washirika wake ni nani amesikia taarifa hizo na kwa ujumla umati wa maelfu ya waumini wameitikia

UPDATE

Kwamba kwenye siku ya ibaada majira ya tarehe 26 mwenzi huu mwananchi mmoja alizuka kanisani, na akakutana na walinzi wa kanisa. Na wakamhoji shida yake nini, na kwa kuwa alikuwa na Shari kubwa aliwaambia lengo lake ni kumwona mchungaji kiongozi

UPDATE
mtu huyo aling'ang'ania kwa Shari kumwona mchungaji kiongozi na kwa utaratibu si rahisi kumwona yeye pasipo kujua sababu.. Kwa hasira akaanza kuropoka kwamba yeye ni mafia na kwamba yeye ndiye aliyemteka Ulimboka

Kwenye red: soma kwa pamoja. Leo ni tarehe 15 July, wewe au mchungani anasema terehe 26 mwezi huu? Na Dr Ulimboka alitekwa lini?
 
Hayo ndo maswali tunayotaka majibu yake. Hivi huyo mchungaji hawezi kuongea na waandishi wa habari baada ya ibada waweze kuuliza maswali kama hayo labda anaweza kuwa na mwanga kidogo. Dr. alitekwa lini?

Ingekuwa vizuri kama huyu mchungaji angeongea na waandishi wa habari.
 
polisi wakawaambia walinzi wa kanisa wasiseme chochote kuhusu hilo maana mtu huyo alisema ni kichaa. Siku ya pili Mch akasema akashangaa Kamanda kova kutoa taarifa ya uongo kwa kilichotokea tena wiki mbili baada ya tukio. Mch akashangaa limekujaje wakati tayari polisi walishasema ni kichaa pamoja na kwamba aliziungumza maneno yaliyotoke kweli
Kaazi kweli kweli kumbe walikiri kabisa kua ni kichaa!!!
 
Kanisa linailaani polisi kwa kutoa taarifa za uongo. Inawezekana mtu huyo ni kichaa kweli au ametengenezwa ili atokee mlango wa serikali. Serikali haina nia njema na hata kama ilikuwa kweli bado serikali isingewetakiwa kutoa taarifa ya nani alitoa taarifa ya uhalifu
 
Mtu huyo alipoulizwa mbele ya polisi kuhusu aliyoyasema alisema ni kweli. Pia alikiri alitumwa akamteke Mch Gwajima. Mch anasema kwa vile kanisa lake linaikosoa serikali inawezekana. Cha kushangaza baada ya kusema hayo Mkenya huyo akasema ni kichaa na anasikitika kwa kuropoka maneno ambayo hayapo

patamuuuuuuuuuu mpaka kisogoni. KAma umepigwa konzi la msuguo kwa vidole viwili vya kati, nahisi JK na kova lake la kuficha madhambi wanavyofeeel naunau
 
Kwamba mtu huyo kweli ni mhalifu hailihusu kanisa ila tamko la kanisa ni kuwa mtu huyo hakuja kutubu. Na pia inawezekana alikuja kwa ajili ya kufanya uhalifu hata kumdhuri.

Ushauri kwa polisi.
Hata kama mtu huyo ni kichaa lakini anazungumza ukweli na mambo yaliyopo yashughulikie. Analiomba jeshi la polisi limkamate Afande Msangi maana anatuhumiwa ili ahojiwe na kuondoa wingu linaloeneo
 
Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo. Bila kupiga CCM chini tutaendelea kufanywa mazuzu
 
Back
Top Bottom