Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Mchungaji Gwajima amesimama na anaanza ufafanuzi
Update:

Anasema yeye anafafanua kwa habari ya washirika wake ambao wamesikia taarifa husika. Kwanza amen za na kuwauliza washirika wake ni nani amesikia taarifa hizo na kwa ujumla umati wa maelfu ya waumini wameitikia

UPDATE

Kwamba kwenye siku ya ibaada majira ya tarehe Tajwa huu mwananchi mmoja alizuka kanisani, na akakutana na walinzi wa kanisa. Na wakamhoji shida yake nini, na kwa kuwa alikuwa na Shari kubwa aliwaambia lengo lake ni kumwona mchungaji kiongozi

UPDATE
mtu huyo aling'ang'ania kwa Shari kumwona mchungaji kiongozi na kwa utaratibu si rahisi kumwona yeye pasipo kujua sababu.. Kwa hasira akaanza kuropoka kwamba yeye ni mafia na kwamba yeye ndiye aliyemteka Ulimboka

UPDATE

BAADA YA hapo walinzi si hao wakajua si mtu mwema, Wakampeleka polisi..

UPDATE

Baada ya hapo walinzi hao wakapigiwa cm polisi kwa ushahidi zaidi, na walipofika huko wakamtambua huyo kijana, na kweli huyo kijana mbele Yao akakiri kwamba alifika hapo kanisani.. Na pia kwamba aliropoka maneno yote mbele Yao . Na akakiri mbele Yao kwamba yeye huwa Ana roho inamuingia na kuwa Kama mwendawazimu na kuanza kuropoka maneno ambayo hata yeye hajui yanapotokea.. Hivyo walinzi pamoja na Polisi walikubaliana kwamba mtu huyo ni Kama mwendawazimu na ni Velma mambo hayo wakayapuuza na Kila mtu aende lee na shughuli zake.. Walinzi hao wakarudi kanisani na kuripoti taarifa za mtu huyo kwamba kuna mtu walimkamata na kumfikisha kituoni na baada ya hayo walipigiwa simu wakatoe ushahidi.. Na matoke yake yote..

Siku ya tatu ndipo

UPDATE

NIMEPATA AUDIO CLIP YAKE NADHANI NIFANYA KUIUPLOAD HUMU

Mbona hueleweki unachotaka kutuambia? au na wewe ni mwendawazimu?
 
acha kupotosha umma mkuu. GTs we dont live under suspicious.

Bora hata umemwabia ukweli, Usalama wa taifa wanaingiaje kwenye thread hii? au ndo wale wale akina Said Kubenea wanaofikiria kuwa mwandishi bora ni yule anayelumbana na vyombo vya ulinzi?
 
Huyu Mkenya kafikishwa mahakamani kama Mkenya?
Kesi namba ngapi?
Jina la mtuhumiwa?
Jina la hakimu?
Picha ya mtuhumiwa?
Polisi mpelelezi wa kesi hii?
namba ya passyake ya kusafiria?
Ilitolewa wapi nchini Kenya?
Tareheiliyotoleanchini Kenya?
Aliingia lini Tanzania?
Aliingilia kituo gani mpakani?
Muhuli wa Imigration?
Ubalozi wa Kenya unasemaje?

Sidhani kama ni muhimu kwa sasa, wakati ambao bado watuhumiwa wengine wangali wanatafutwa.
 
kitu na tambua katika jinai,mtambuliwa na muhusika ni acussed person,why not msangi aliyedaiwa wallet na simu,wa pili yule afisa waliyekuwa nae bar kwani polisi wamefungua kitengo cha cyber crime kwa nini wasichunguze namba zilizotumika na yule afisa aliyejitambulisha wa usalama , mbona majambazi yanashikwa mara moja kwa mtego huo?tunawekewa kichaa hapo je hawa askari hawawezi kufanya uchunguzi,ok finaly walikuwa watu 4/5 kama huyo gwajima planted(chizi) asiwataje wale alikuwa nao ni fulani na fulani na case yenyewe ni public interest kama ameamua kutubu?au ilikuwa inatakiwa kauli "hakuna maandamano kwa sababu swala liko mahakamani"kama walivyotiwa loba wahesimiwa,wa mjengoni? Ni vitu vidogo vya (2+2=4),na muathirika kamtabua wapi huyo chizi wa kikenya,ila mungu ni mwema kwa mungu kumsirikisha katika hili ni kosa kubwa labda asiwe huyu mungu ninae mjua mimi (mungu wa israel,isaka,yakobo yaani yehova) kwa vile wanataka kumshirikisha mungu atawaumbua na ukweli utakuwa wazi ndani ya muda si mrefu na kuanzia hapo uhai/afya ya ulimboka itaimarika maradufu kwa sababu wamemchokoza niko ambae niko!na naomba nafasi katika tume huru !stay tuned


"asante gazeti la mwana halisi kwa kufatilia call records ambazo zinaonyesha ushaidi wa mazingira" ni siku kumi tu toka kumwachia mungu afanye kazi yake haya sasa
 
Back
Top Bottom