Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Uso wangu nitauweka wapi mie maskini nilidhani huyu nae ananunulika kama wale wa igunga na wale waliokodishwa waandamane kupinga mgomo wa madaktari; hivi wanaitwa akina nani vile? mmhh tatizo shule ila GWAJIMA umejijengea heshima kubwa sana na umemwinua MUNGU
Wanaharakati wa kulipwa ubwabwa
 
afanye press conference kusafisha kanisa lake na kuwaumbua polisi ,kuzungumzia kanisani tu ni uoga huo.
 
wakuu uli alitekwa tarehe 26 saa 6 usiku.
Na akateswa hadi alfajiri 27.6.12.
Huyu jamaa alienda kutubu kabla ya kazi ya kumteka ulimboka.
Na akiwa chini ya ulinzi wa Polisi usiku wake baada ya kutubu wakaondoka na kina ACP Msangi na polisi wengine wakaenda na kumteka ulimboka na kumtupa Pande.
Badae alirejea selo!
 
Naomba mnikumbushe Ulimboka alitekwa tarehe ngapi?

sina uhakika na kilichoandikwa hapa. Ulimboka alitekwa jumanne tar 26 june usiku saa sita. Sasa wanavyotuambia mtu huyo alikiri toka tar 26 huu ni uongo ulio wazi!! Wanajaribu kutuhamisha kwenye mijadala ya maana kila leo ili tupoteze mwelekeo.
 
kifo kikifika miti yote huteleza. kova alitakiwa atunge uongo unao endana na ukweli sasa matokeo yake anaumbuka.
 
Back
Top Bottom