Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 268
- 760
Leo underdog watawaua watu kwa pressure 😂
🤣Namuona Lukaku kaanza mapepo yake
Mbelgiji anataka kuniliza tena leo, Nashindwa kuelewaBelgium kaumaliza mwendo sioni dalili ya kuchomoa Wala kuchomeka .
Wakamalia ,mkombozi ni France kwa leo poleni na yote ,ndivyo dunia ilivyo .
Dah Off-sideAsante Lukaku