Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,058
- 2,137
mpira umeamua unoge
Umewaza kama Mimi, Jamaa Wakapata Muda KupandaKocha wa Spain asingewatoa kuwatoa Yamal & Williams mapema vile..
Kwa Kikosi Kipi? Hiki cha Pepe? 😀Ureno huwa sio mnyonge kwa ufaransa
Kocha kazingua sana aisee, unawatoa wachezaji tegemezi wote ambao ndio muhimili wa timu unategemea nini?Unamtoa Nico William halafu umuingiza Ferran Tores ambaye hana threat yoyote una akili kweli.
Mzee, France Watoe Hapo Kwenye List Yako, Wale ni Full Packagempira hauko fair timu za janjajanja uholanzi ufaransa uingereza zinapita kwenda robo zilipaswa kutoka toka makundi au 16 bora.
hawachomoi braza.Ureno huwa sio mnyonge kwa ufaransa
AsanteGOAL! Florian Wirtz hammers a shot into the bottom corner! Spain 1-1 GermanyView attachment 3034503
Wamekataa duhHiii imeenda