Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 5,016
- 24,499
- Thread starter
- #4,401
Hivi vitoto vya Spain unahitaji akili kuvikaba
Vinginevyo kadi zitakuhusu sana..
Vinginevyo kadi zitakuhusu sana..
Nikama kapagawa na kasi ya upande wapili.Rudiger anakosa maamuzi ya haraka. 😀
Umeona vyema kabisaMimi km mamajusi naona
Pmj na vurugu za spain
Ujerumani atafuzu kwa kumpiga spain 2-1
Akizingatia ana kadi basi mawengeNikama kapagawa na kasi ya upande wapili.
Mpaka sasa wamewekwa kwa mfukoLeo Mjerumani aume meno ule moto wa winga za Spain